The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Hahahahaaaa kama Burundi mwanangu 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣farm tractor ikiwa kwa airport kisumu kufanya shanting
View attachment 3109828
Kama chooni mzee 🤣🤣🤣🤣🤣waiting lounge at kisumu international airpot
View attachment 3109836
View: https://youtu.be/G8CfGtJBfms?si=en5VPxtDMYKDlzrRVERSUS
BM COACH WAITING LOUNGE
View: https://x.com/TBoundBuses/status/1696807659624706510
wenyewe si huwa wanakimbilia kwenye kutengeneza data tu, na ndo maana wanakwambia burudi ina maendeleo ya miundombinu kuliko tz , hiyo burundi yenyewe hata umeme hawana , barabara karibia zote vumbi walingane na tz kweliEti walikuwa wanajipa moyo kabisa wanaizidi Tz kwa km of paved roads, thubutuuu! Linchi likubwa kama hili ambapo kanchi kao kanaingia zaidi ya mara mbili alafu mikoa yote imeunganishwa kwa lami na bado eti wawe mbele yetu, kama tutasema lami ya kutoka kigoma mpaka Dar tuiweke Kenya basi hakuna county itakosa lami Kenya.
umenikumbusha kwanza nikatafute choo cha magufuli terminal nije nifanye comparisonKama chooni mzee 🤣🤣🤣🤣🤣
Hawa wakenya kwisha habari yao, wanaona hata uvivu kupost humu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣umenikumbusha kwanza nikatafute choo cha magufuli terminal nije nifanye comparison
Mtu akikuambia hivyo huna haja ya kumjibu, pesa ambayo tumewekeza kwenye infrastructures ni sawa na uchukue Uganda, Rwanda, Burundi, Kenya, Sudan and Congo combined.wenyewe si huwa wanakimbilia kwenye kutengeneza data tu, na ndo maana wanakwambia burudi ina maendeleo ya miundombinu kuliko tz , hiyo burundi yenyewe hata umeme hawana , barabara karibia zote vumbi walingane na tz kweli
Unaforce issues, pole sana. 🤣 🤣 🤣waiting lounge at kisumu international airpot
View attachment 3109836
View: https://youtu.be/G8CfGtJBfms?si=en5VPxtDMYKDlzrRVERSUS
BM COACH WAITING LOUNGE
View: https://x.com/TBoundBuses/status/1696807659624706510
mimi nimekuwekea link sasa kataa hiyo link sio kwenu leta link tuverifyUnaforce issues, pole sana. 🤣 🤣 🤣
Unatuletea link ya 5 years ago na tuko 2024 you clown. Punguza ujinga na mafeelings.mimi nimekuwekea link sasa kataa hiyo link sio kwenu leta link tuverify
hakuna anayekupinga leta link tujifunze mimi nimepata hiyo wewe leta ambayo itafuta hicho nilichonacho sio kubisha tu,Unatuletea link ya 5 years ago na tuko 2024 you clown. Punguza ujinga na mafeelings.
leta link tujue wote expansion iliyofanyika sio picha za kuweka tuUnatuletea link ya 5 years ago na tuko 2024 you clown. Punguza ujinga na mafeelings.
na hii ina miaka mitano?Unatuletea link ya 5 years ago na tuko 2024 you clown. Punguza ujinga na mafeelings.
Ju hii ni Kisumu Airport ama? Wewe kojoa ulale.
kumbe we zumbukuku kweli sasa ulicholeta nini umesema nafosi vitu haya umeshindwa kudhibitisha . basi njooo uukalie, naona tako linakuwashaJu hii ni Kisumu Airport ama? Wewe kojoa ulale.
Ebu tuambie Ally Star inafanya nini kwa Master Fabricator then.😂😂👇👇yaan kwa akili yako unadhni ally anaweza leta gari hapo kwa ajili ya matengenezo, si bora akalitupe polini,
Sasa horofa tatu nchi nzima mtaanza kupost aje? Aibu ndio inawafanya msizipost😂😂Mpaka leo mtu bado anapost picha kama hizi, wakati sisi hata hizo twin towers hatupost tena, hawa wakenya washafeli wallahi 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
kwahiyo unaona hapo ipo gereji au imepaki nje, hapo unaona ina ubovu wowote? unajua kuwa hiyo gari ni mpya haina hat miezi sita .
Huyo wamekasirika juu nimewaambia Arusha ni full mabati😂😂.Unaforce issues, pole sana. 🤣 🤣 🤣
Ilipigwa ikiingia ndani. Remember Ally Star hana route ya Kenya, so tuambie hapo kwa Master alienda kufanya nini.kwahiyo unaona hapo ipo gereji au imepaki nje, hapo unaona ina ubovu wowote? unajua kuwa hiyo gari ni mpya haina hat miezi sita .
mkiwa mnapost magorofanenu msisahau na underground.Sasa horofa tatu nchi nzima mtaanza kupost aje? Aibu ndio inawafanya msizipost😂😂