Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyinyi Hamna hata freeway ya 1km๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Utakua unajitoa akili bila shaka toka huko Kibera njoo ujaribu Kimara Kibaha.

Alafu Hiyo pesa mliyojengea Thika, sie tumeitumia hiyo hiyo kujenga more viable project Magufuli Bridge Longest in Africa.

Tuone baadae mnalia sijui mizigo ya Uganda, Rwanda haipitii Kenya tena.

Nasikia bado hamjamaliza Deni la Thika
 
Endelea kuskia, nobody has blocked your ears from earing๐Ÿ˜‚

Thika Highway is 50km of 12-16 lanes with interchanges, underpasses, overpasses and flyovers na hiyo Bridge is only 3km of 4 lanes only, akili yako inakusaidia kweli?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Alafu Thika ni 8 lane, 12 in some section, hizo 16 weka hapa kijana tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ