Which hood is this one?Bongolalas hua obsessed with slums ukiwaambia majority of Nairobians wanaishi kwa self-contained house wanakasirika. 🤣 🤣 🤣 Hatuko LDC kama nyinyi. 🤣
Watanzania wengi ni vichaa 😂😂😂🤣haha kiyo sio ripoti halafu hilo gaztee ni la udaku ukifungua content iliyoandikwa hapo tofauti na kama hujui udaku sema. about mental illness comprises vyote ukiwa ni kichaa ina maana unaugonjwa wa kichwaa , mental illness imebeba vyote na madness. ukiwa ni kichaa unahesabika una ugonjwa wa kichaa ambao kwa kiingereza ni mental illness.
hakuna utofauti wa kichaa na mental illness. kichaa ni ugonjwa wa akili kwa kiswahili na kwa kiingereza kichaa ni madness ambao pia ni ugonjwa unaotokana na akili au mental illness, depression,hyper na hayo uliyoyataja wewe ni visababisha vya kukufanya na ugonjwa wa akili au vivyavyoweza kukufanya ukawa kichaaa au kwa lugha rahisi madness .Watanzania wengi ni vichaa.
Mental illness doesn’t necessarily mean madness. Mental illness include depression, anxiety, stress, epilepsy etc. Stress (alcohol abuse), depression and anxiety and epilepsy contribute 99% of that list.
Tanzania on the other hand, report purely stated madness😂😂
View attachment 3108801
Watanzania wengi ni vichaa 😂😂😂🤣
View attachment 3108828
Again watanzania hutumia tu asilimia moja ya akili yao kufikiria😂😂🤣🤣👇👇
View attachment 3108842
Huyo ni MPUMBAVU. Ni sawa na mtu anakopa hadi hela ya kula halafu anajipa moyo kuwa hata SSB na Mo wana madeni. Acheni kuhangaika na kichaa.mpuuuzi wewe unafananisha deni ya USA na kenya wewe kweli hayawani😂😂
yani mzungu anawaza kwenda mars wewe unawaza lini MUNGU alete mvua mulime mahindi mule au mufe njaa
Kaka Kenya washajifia , wanachukua mikopo kulipia mkopo wa nyuma, sio kwaajiri ya miradi Mingine.Ok twende kwenye reality tuanze kwenye GDP.
What is ratio of your GDP to public debt and how much surplus do you after a deduction of your public debt as compare Tanzania,
Unataka kutuambia una mauzo ya 100bil ila kati ya hizo unatumia asilimia 70 kulipa deni na kubaki na akiba ya 30bil halafu mwenzako anamauzo ya 70bil ila ana deni la asilimia 30 . Huyu akiuza baada ya kulipa deni anabaki na surplus ya 69. Hapo nani anaweza fanya matanuzi au nani atakuwa na maendeleo. Letsay Kuna nyumban inauzwa bil 50, nani atakuwa na uwezo wa kununua hiyo nyumban?
That's why I always call you fool, uyu anamuigizia waziri mmoja, anafanya drammer, arafu Kwa akili yako fupi unafikili Yuko serious.Hata USA na France pia watu wanaandamana. Only foolish people like Tanzanians ndio wamezubaa na kusikia everything about their government.
That’s the reason we see primitive behaviors like these👇👇🤣🤣😂
View: https://x.com/kigogo2014/status/1839554255641846012
Hata maana ya kupuuza hujui.Umechoka kunipuuza haraka aje?😂😂😂