Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hamna waziri wa afya kenya au mganga mkuu wa serikari kudhibitisha haya unayo yasema ili tuamini unataka tuwamini nyie kundustan au tuwamini viongozi wetu
Mbona waziri adhibitushe kifo cha mteja wa Nairobi Hospital ambayo ni hospitali ya kibinafsi.
 
Anae takiwa kudhibitisha atudhibitishie kutoka Kenya mbona kuna maraisi wamekufa nje ya nchi zao na ikatangazwa why not JPM acheni kujikweza alishawahi kufanya ziara kenya kipindi chake akiwa madarakani
Mbona waziri adhibitushe kifo cha mteja wa Nairobi Hospital ambayo ni hospitali ya kibinafsi.
 
Mkakaa mkaendekeza propaganda za Tundu Lissu pumbafuuu.
Magufuli hakuwahi itembelea Kenya toka awe Rais wa Tanzania.
Na alifia Mzena akiwa anatibiwa muda wote huo hakuvuka border kwenda popote.
 
Acha kelele kama mbwa koko wewe.
Ni sahihi taarifa hufichwa pale kiongozi anapokua mgonjwa ili kuepusha tafrani katika serikali.
Ila akifariki huwa INATAJWA CHANZO CHA KIFO,MATIBABU ALIPOANZA KUPATIA HADI ALIPOFIA NI WAPI.
Katika ripoti zote hizo serikali ikiwemo Mabeyo alisema rais alikua Mzena akitibiwa hadi alipozidiwa na kufariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…