Magufuli kafia Mzena.Mtaficha na kulia sana lakini ukweli utabaki ule ule 🤣🤣 Magufuli alikua Nairobi hospital ICU
View attachment 3107191View attachment 3107192
sasa wewe toka jana wanakula dozi unahisi watafanya nini. hapa kama vile hawapo wakiibuka watakuja na vipicha vya marcopolo bus assembled in kenyaMagufuli kafia Mzena.
Humu niliwahi kuleta ripoti ya BBC news juu ya kifo cha Magufuli ndio maana hii mada sasa hivi watu hawaipi attention.
Unaeishikilia ni wewe na wakenya wenzako baadhi wasiojielewa.
Kamwe hakuna Rais ataekuja kutibiwa Kenya ikiwemo Magufuli.
Punguzeni propaganda haziwasaidii kitu.
Kwasababu navyojua mimi kaka kuna taarifa za ugonjwa za kiongozi zinaweza kufichwa,ila akifariki itatangazwa tu ilikuaje na alifia wapi.huwa inapendeza walau kungekuwa na picha lakini haya mnayoyasema sasa hivi ni hearsay tu, ni kama mimi nikaamua kukuzushia kwamba nimekulala na nikatoa timeline ya movement zako. ukweli ambao unaweza aminika ni pale ambapo either kuna picha ya magufuli ya yeye kuwepo Nairobi hospital au receipt ya malipo kuhusiana na matibabu yake au udhibitisho wa mdomo wa mganga aliyehusika kumtibu. kama hakuna mnajipa umuhimu ambao hamna.
Kwa mwendo huu even individual Kenyans will be privatized 🤣🤣🤣🤣Ni Nchi isyokuwa na dira ya maisha
Mama ngina news kiosk leta reputable news source kijana.Ushahidi ndo huo hapo.
Nation is the largest media house in East and Central Africa by the way
View attachment 3107188
o ndo ukweli huu uvumi ulianza kitambo sana ila ndo hivyo hawana cha kuonesha sasa hivi GDP imeshuka toka 113.42 mwaka 2022 mpaka 107.44 mwaka 2023 na bado tutegemee itaendelea kushuka tu, hapa lazima wapanikiKwasababu navyojua mimi kaka kuna taarifa za ugonjwa za kiongozi zinaweza kufichwa,ila akifariki itatangazwa tu ilikuaje na alifia wapi.
Picha linaanza wanakwambia Magufuli ni Corona sceptic.Ilhali alifariki kwa matatizo ya moyo na alikua na pacemaker.
On second note kwa taarifa yako uliyoweka hapa though questionable, can a dead body be discharged from a hospital? 🤣🤣🤣🤣Mtaficha na kulia sana lakini ukweli utabaki ule ule 🤣🤣 Magufuli alikua Nairobi hospital ICU
View attachment 3107191View attachment 3107192
Sasa according to this source alifia wapi?Timeline of Magufuli's movements, according to the Daily Nation
February 27 : Last public sighting of President John Magufuli.
March 6: The date when then vice-president Suluhu later said Magufuli was taken ill.
Date not known: Magufuli's condition suddenly deteriorates after less than 24 hours at the Tanzanian hospital.
Decision is reportedly made to fly him to South Africa, which has better facilities but doctors advised there was not enough time and was flown to Kenya instead.
March 7- 8: Magufuli is flown to Kenya secretly by air ambulance and lands at Wilson Airport. The runway is closed to other planes.
On arrival at the Nairobi hospital, he is intubated, a procedure where tubes are i inserted in the lungs to aid breathing.
March 11: Maguflui is flown back to Tanzania and arrives at Mzena Hospital. He dies shortly afterwards, according to the Daily Nation.
March 12: Prime Minister Kassim Majaliwa says Magufuli is in Tanzania and "working hard as usual".
March 17: Tanzania's then vice president Samia Suluhu Hassan announces Magufuli's death due to heart disease.
Kila mtu anachukua chake mapema kabla hajakabidhiwa Kemcho Adani😂😂😂😂
View: https://x.com/_kenyangooner/status/1839196619553591404?s=46
View: https://x.com/kobiaderic/status/1839193954807390432?s=46
View: https://x.com/lonersspace/status/1839235181598707886?s=46
View: https://x.com/call_memartin/status/1839211402919084455?s=46
View: https://x.com/josinyaruai/status/1839194599111131322?s=46
Na wasije wakakuongopea hapo ni Jua kali International Airport (JKIA), huo ni uwanja wa O.R Tambo South Africa, na picha ni ya kitambo sn, 2003. Nimeona gazeti lao limeshaongopa tayari wameandika eti hapo ni Jua kali International Airport (JKIA). Hawa jamaa ni mbwa sana.Kume
Watakaa wakati kwao kumekucha bila Mafuta? 😆😆😆😆👇👇
View: https://x.com/Kenyans/status/1839192260203680011?t=gPM4ST9_p_6vd8bFDDmUJg&s=19
Mzena Hospital alioewa referral after kua Nairobi Hospital when he was already brain dead.🤣🤣Sasa according to this source alifia wapi?
Soma hii articleOn second note kwa taarifa yako uliyoweka hapa though questionable, can a dead body be discharged from a hospital? 🤣🤣🤣🤣
If Nation not reputable?Mama ngina news kiosk leta reputable news source kijana.
Hizi blee bleee bleee mnazoleta acheni.
Uongo hauwasaidii kitu wakenya.
Magufuli alilazwa Mzena hospital Dar es salaam toka siku anaumwa hadi anafariki.
TAFUTENI UONGO MWINGINE WA KUDANGANYA.
Magufuli alitibiwa Nairobi hospital kabla ya kifo chake ama hakutibiwa?Magufuli kafia Mzena.
Humu niliwahi kuleta ripoti ya BBC news juu ya kifo cha Magufuli ndio maana hii mada sasa hivi watu hawaipi attention.
Unaeishikilia ni wewe na wakenya wenzako baadhi wasiojielewa.
Kamwe hakuna Rais ataekuja kutibiwa Kenya ikiwemo Magufuli.
Punguzeni propaganda haziwasaidii kitu.
Hacha utaira ww. Tuonyenye receipt book ya kupokelewa kwenye hiyo hospitali yenu na kuwa discharged.Mtaficha na kulia sana lakini ukweli utabaki ule ule 🤣🤣 Magufuli alikua Nairobi hospital ICU
View attachment 3107191View attachment 3107192