Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya hawajafundishwa hivi,wao wamefundishwa vingine.

Kwamba mtu akiomba uraia nchi nyingine na kukimbia kwao maana yake.anaenda kusaidia watu wengine.huku ameacha jamii ya kibela.[/QUOTE]
kanuni yao ni ivi eti kuwa na wingi Wa RAIA wanaoishi nnje ni ujanja......

Kenya hoyee.....[emoji13] [emoji12] [emoji12] [emoji12] mi huwa nawacheka hebu yaani hawajifunzi kutoka south Africa,waarabu na Tanzania...
 
politics kidogo:
"msee" wa ahadi zisizotekelezeka...nadhani kabla hajapanda kwa podium huwa kwanza anakula miraa au kupiga puff tatu za wida.


juzi kati kahaidi watu wa EA ikiwemo tz eti hawatahitaji passport kuingia kenya...ni national ID[emoji23] [emoji23] ..ni mtz mjinga tu ataamini hiyo ahaadi.

BTW vp ile ahadi ya laptop kwa kila mwanafunzi nchini kenya,imefikia wapi?...just asking though.

NB:
hapo kwa screenshot naona amekazia issue ya food security... kweli njaa mbaya sana mpaka imekuwa main agenda ya rais katika muhula wake.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ranks zinaendana na ukongwe Wa chuo ukongwe Wa chuo hipata ranks za juu kulingana na wingi Wa wasomi waliozalishwa.......hivyo ubora wao Wa vyuo ndiyo hupimwa kwa kiwango hicho

acha ushamba ranks si kitu
 
hawa wanakaa KK Security guards..yani wanauliwa 15 DRC..nA WAKIENDA SOMALIA SASA?????????????
The biggest UN peacekiping mission yenye askari zaidi ya 120,000 kutoka nchi zaidi ya 10 duniani ipo DRC not Somalia, alshaabab wamewashinda mnaanza kupiga kelele, Tanzania imeshamaliza kazi waliyotumwa huko DRC, vijana wetu walikuwa wametulia tu wakisubiri siku ya kurudi nyumbani.
 
Asipokubali kuachia ardhi aliyoipora kwa wananchi, njaa haitokwisha, laptop project alikanusha kwamba hajawahi kutoa hiyo ahadi, wakenya walumuelewa vibaya, huyo ndiye Uhuru Kenyatta[emoji23] [emoji23]
 
To me hata hivyo 27 ni vingi sana, we don't need lots of universities, tunahitaji vyuo vingi zaidi vya ufundi stadi,
Our society needs skilled labour, not lots of graduates with Knowledge but Zero skills.
Ukichengwa babaa kubali.
 
DRC Wanatumia panga ..somalia wanatumia bomu my friend
 
hapo sasa ndipo utajua nyie wakenya ni maandazi sana MTU analeta hoja za panga na mabomu.....

kweli wakenya mpo more than educated dah[emoji22] [emoji22] [emoji30] [emoji30]
 
hapo sasa ndipo utajua nyie wakenya ni maandazi sana MTU analeta hoja za panga na mabomu.....

kweli wakenya mpo more than educated dah[emoji22] [emoji22] [emoji30] [emoji30]
Lete hoja Losermatic. Kazi yako ni ku criticize anything and everything
 
DRC Wanatumia panga ..somalia wanatumia bomu my friend
UN imepeleka 120,000 troops from different countries around the world, Somalia UN imepeleka wanajeshi wangapi?, walipoona kwamba pamoja na hao wote lakini bado M23 waliendelea kusumbua, Ban Ki Moon aliomba wanajeshi nchi gani wakamalize M23?.

Kama Alshaabab wamewashinda ombeni UN waombe msaada toka Tanzania tumalize hiyo biashara, Alshabaab itabaki kwenye vitabu vya historia kama M23
 
Mimi ninazungumzia full time students at one campus, Open University of Tanzania ina zaidi ya 500,000 students, all over the country, hiyo hatuhesabu, main campus hapo Nairobi, full time ndiyo uniambie
500,000 students? Hebu prove that mbiombio...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…