Umemsoma jamaa eeeeh!??Hakuna uhusiano wowote wa Ndovu na Panya. Hujui namna ya kutumia misemo. Nenda shule kwanza ukajifunze Kiswahili
Msemo lazima uwe na maana na ushabihane.
Panya hajawahi kuwa na uhusiano na Tembo
You write many words without any context
JF ni ya wasomi. Siyo mtu anakuja kujaza maneno mengi hayana hata mantikiUmemsoma jamaa eeeeh!??
Mboyoyo nyingiiiiiii ndani hakuna kitu.
Sasa kuna utofauti.
Eti urafiki wa tembo na panya khaaaa!!JF ni ya wasomi. Siyo mtu anakuja kujaza maneno mengi hayana hata mantiki
Anadhani watu wanaotunga Nahau na Misemo wanaamka tu kutoka Kibera wakiwa wamekunywa Chang'aa 🤣 🤣 🤣 🤣Eti urafiki wa tembo na panya khaaaa!!
😂😂😂😂😂😂Mimi nasubiri alete hapa mikataba mikubwa ya uwiano wa ushirikiano ya Kenya na China kama ilivyo ya Tanzania na China.
Hawa Shilole na Hersi ni kina nani?Hata mimi nishamalizana mjadala huwa siendekezi mjadala wa mtu mwenye net worth sawa na Shilole.
Maana net worth ya Kipchoge ni net worth ya Shilole.
End of discussion.
Najua unakuwanga mgumu kuelewa. Wacha nikueleze kama mtoto mdogo.Huu uongo unaupata wapi!??
Nani kakwambia China hainufaiki na Tanzania!??
Unajua China kawekeza miradi mingapi Tanzania kuliko alivyowekeza Kenya,Uganda,Rwanda na Burundi!?
Hivi unajielewa bro!??
Ndio maana nikakuletea historia ya Urafiki wa Tanzania na China wapi umetokea.
Kenya hamuna historia kubwa ya kihivyo baina yenu na China.
Ukanda wote huu au tuseme Afrika nzima nchi yenye historia kubwa na China ni Tanzania.
Lete uwekezaji wa China Kenya na wa China Tanzania tupimie hapa.
Pia lete biashara za ushirikiano Kenya na China na mimi nilete za Tanzania China.
Usisemee mikopo hapana biashara za ushirikiano.
Nenda katumie google.com au chatgpt.Hawa Shilole na Hersi ni kina nani?
Kiufupi hapo mnaomba mkopo na sio diplomacyLazy idiots as usual, ndio mnaingia saa hii while Kenya is already on the table making deals.
View: https://x.com/WilliamsRuto/status/1830854661454139855
Hawa Shilole na Hersi ni kina nani?
Anafananisha utajiri binafsi wa mtu na umaarufu na impact yake kwenye society. Si basi tumpee tajiri Mike Sonko amenyane na huyo Hersi aachane na Kipchoge wetu.🤣🤣Hawa Shilole na Hersi ni kina nani?
Hao ni watu ambao hawana umaarufu ila wana pesa ndefu kuliko Kipchoge.Hawa Shilole na Hersi ni kina nani?
Umeona sehemu ya kupumulia uweze kukimbia. Tueleze Uhusiano wenu na Nchi ya China upo wa namna gani?Anafananisha utajiri binafsi wa mtu na umaarufu na impact yake kwenye society. Si basi tumpee tajiri Mike Sonko amenyane na huyo Hersi aachane na Kipchoge wetu.🤣🤣
Unaanza kuchanganya madesa.Anafananisha utajiri binafsi wa mtu na umaarufu na impact yake kwenye society. Si basi tumpee tajiri Mike Sonko amenyane na huyo Hersi aachane na Kipchoge wetu.🤣🤣
Are they athletes?Hao ni watu ambao hawana umaarufu ila wana pesa ndefu kuliko Kipchoge.
Shilole net worth ni $4 millions ilhali huyo Kipchoge umaarufu woooteee net worth yake ni $ 3 millions.
Kwa Hersi usiguse maana yule ni boss kubwa achana naye.
Is Mama Ngina athlete?Are they athletes?
😂😂😂😂😂😂😂Nyani katema bungo lamamayeeeee.Najua unakuwanga mgumu kuelewa. Wacha nikueleze kama mtoto mdogo.
Hizo investment unazoongelea kwenu ni kitu kikubwa ila Kwa China ni tone la maji kwenye bahari. Yani Leo hii mkiacha kushirikiana na China, China haitoadhirika hata kidogo ila China wakaiacha kushirikiana nanyi uchumi wenu utaadhirika mno. Nilikupea mfano awali kwamba GDP yenu haifikii GDP ya mji wa 100 kwa ukubwa China. If you can't understand this simple reality then I have nothing else to tell you.
Shida yenu mnapenda kufanya vitu na emotions. Yani Rais wenu akisalimiana na Rais wa nchi kubwa mnaona kama mmedhaminiwa sana na hiyo nchi. Sorry to break it to you, kwa mchina Mwafrika ni Mwafrika tu, hamna tofauti.
Kwahiyo tuseme mmeshindwa kulipa mkopo mpaka muombe nyongeza ya muda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nilikuambia mambo ya Kipchoge na Hersi sijadili tena. Ni kumkosea Kipchoge heshima.