Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

bora hizi kuliko zenu ambazo ukuta ni mabati.
Embu tafuta sehemu iliyochoka dar es salaam zaidi ya hii.

Hahaaa bad enough hiyo ndio huku tunaitaga uswazi,yaani mahali pa chini kabisa.lakini kuna nyumba za matofali tupu na bati.

Hii ni 1000×better kwa kibela yenu.
Hio sio shida hata, coz i know you are proud of them. shida ni:that is what 90% of Daresaalam is made up of.
 
Tuseme unagari waendesha hapo ubongo kisha uone laini uliyopo ina msongamano. Laini jirani pia IPO vilevile lakini ile ya ndani kabisa ya BRT haina gari. Utaingiza gari lako hapo? Hio BRT lane itakuazimu kivipi wewe mwendeshaji gari?

A BRT is almost entirely a different road all together with no interaction with the adjacent road whatsoever
 
kwani BRT ni train au??? au ziliteremka kutoka mbinguni bro be serious bana
 
UDOM Tanzania







This looks great yes, but do you remember our top ranking Universities list?
It did not appear on the top 200. So what's the use of beauty without brains... What important thing has that university discovered, invented or has made it resourceful to be proud of.
We have a bunch of them. Even JKUAT UNIVERSITY, ranked 6th in Kenya has made laptops. You have nothing to offer beyond those buildings and no wonder you are ranked very poorly.
Universities are meant for innovations.
 
UDOM founded 2007 tu. Sasa inawalaza hoi. Haya ni mapinduzi makubwa sana, sitashangaa kuona kenya ikiwa kwenye mkia. Maana sasa hivi mmezubaa sana. Mmebaki kukalia sifa za kijinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…