Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,175
- 107,750
Kuwa ukanda mmoja wa lazy Kunyans ni nuksi sana!Tunasubiri Gor Mahia
African football league 2025: Timu zitakua 24
Kwa Ukanda wa CECAFA utawakilishwa na vilabu vinne ambavyo ni Simba SC,Yanga,Al Hilal na El Merreikh zote zikiwa zinatokea Sudan.
Kwa Ukanda wa COSAFA utahusisha vilabu vya Mamelodi Sundowns,Orlando Pirates,Petro Atletico de Luanda na Marumo Gallants.
Ukanda wa UNAF utatoa timu saba ambazo ni Al Ahly,Wydad Casablanca,RS Berkane,Zamalek,Raja Casablanca,USM ALGER,CR Belouizdad na Esperance Tunis.
Ukanda wa UFOA na UNIFFAC utatoa jumla ya timu nane ambazo ni TP Mazembe,Asec Mimosas,Horoya AC,Rivers United,Cotton de Garoua,FC NOUDHIBOU,AS Vita Club na Enyimba.
Wengine wasubiri ujio wa Yesu
Ndio uniroge. π€£ π€£Onesha lako SASA mbwa hiiππππ
Aliekwambia tajiri anarogwa Nani ushawah kuona tajiri ana mashetani??ππππNdio uniroge. π€£ π€£
Uchawi ya bongoslum ni ya kuogopwa. π€£ π€£Aliekwambia tajiri anarogwa Nani ushawah kuona tajiri ana mashetani??ππππ
SGR na BRT 24-7 tangu 2017 ndio miradi?Mnatia hadi huruma,sie tunaonyesha miradi kundudwellers mna kazi ya kuonyesha maghorofa
Mzee hiyo ni miradi ambayo inaendelea kujengwa kila leo, BRT kwasasa tupo phase 5. SGR saivi tupo Phase 2 lot 2 .. Phase 1 pekwe iko na lot 6. Sasa unategemeaje tuache kupost mzee.?SGR na BRT 24-7 tangu 2017 ndio miradi?
Kwa nini unajifanya hamnazo?πSGR na BRT 24-7 tangu 2017 ndio miradi?
Hizi zote ni made in Kenya.
Badala kujenga sehemu potential tunapeleka miradi sehemu ambako hakuna wanamichezo WA mpira πππππ
Unless hujui maana ya made in ππππHizi zote ni made in Kenya.
Ata hiyo land cruiser hapo nyuma
Pole sana mkundudwellersSGR na BRT 24-7 tangu 2017 ndio miradi?