Naona umeanza kuchanganyikiwa sasa. Nimekuambia uweke proof kuwa uchumi wa TZ upo mikononi mwa wakenya. Mbona unaanza kuweweseka tena huko.The coffee house, which is the firm’s 56th, is located at Kigali Heights, the latest premier office and commercial complex in the capital.
In Uganda, Java has six outlets, four in Kampala, one in Entebbe and the other in Jinja.
Java House Group chief executive officer, Ken Kuguru said after Kigali, the firm is eying Dar es Salaam, Tanzania.
www.theeastafrican.co.ke/business/Java-House-opens-first-coffee-shop-in-Rwanda/2560-3516442-33y0oc/index.html
Kenya hatujui iyo ASES na kitu najua kuhusu Tanga, ni mkoa mmoja masikini sana.... though kuna beshte yangu aliniambia wanawake wa huko wako 'bomba' na wanajua kupika.Nakuona wewe ndiye unayeweka vitu tu bila kufuata tunachoongelea. Wewe hapa umesema uchumi wa Tanzania umeshikwa na wakenya. Nikakuambia uthibitishe. Na nikajua kabisa utakuja na blah blah za maziwa nikakuwekea kigingi cha ASAS na Tanga Fresh. Sasa nimekuona umeruka kwa jazba.
Sasa nieleze company gani ya kenya ina operate TZ kwa faida?
Haha... Smooch si ni ya Raphsody's jameni?
pole. sio kwa kilio hichona-enjoy to hizi porojo zao za jf.[emoji23] [emoji23]
hamuwakenya....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
😀😀😀huwaachi mkuu wakapumuaHayo matakataka hayajulikani hata hapa TZ. Ni ya kwenu tu. Nimekwambia Kenya company zinapata natural death. Hakuna nguo yoyote ya kikenya inaweza penya TZ.
Hizo Ice Cream zimejaa TZ za AZAM tena kila kona ya TZ.
Ukiongelea nguo hakuna hata kipande cha kitambaa toka kenya kinaweza penya TZ.
Aliekwambia tanga ni mkoa maskini sana ni nani???Kenya hatujui iyo ASES na kitu najua kuhusu Tanga, ni mkoa mmoja masikini sana.... though kuna beshte yangu aliniambia wanawake wa huko wako 'bomba' na wanajua kupika.
kampuni za Kenya ziko nyingi sana Tz mbali na Uchumi na Nakumatt. You can go shop under trees. no one gives a $hit
Ushaona hamna kitu ya kuwa proud of... Hata mojawhite sand bongo
Proud of what au mm na wewe kuna mada tulikua tunaongelea au unataka nn tuongeleeUshaona hamna kitu ya kuwa proud of... Hata moja
Aboard KQ cargo.this is what Aggressive means
View attachment 648603
yaan nyie huwa hamnaga photo mpya miaka nenda rudi ni hizo hizo tu......yaonyesha ni jinsi gani mji wenu haukui...poleni sana
Nendeni mkatafakari, when you come up with stuff like THE NAIROBI JAVA HOUSE which has over 30 branches in Kenya, then come back and talk.
2008 controversy[edit]
In 2008, Java House founder and former Managing Director Jon Wagner was brought to trial for sexually harassing a minor. In 2009 he was sentenced to 15 years in prison along with two female co-defendants. This made him briefly one of the few foreign nationals living in Kenya to receive a harsh sentence under the law. However he was released on bail in early 2010 pending appeal.[6][7] On March 22, 2011, Wagner was released after his conviction was overturned by Kenya's High Court
mmekimbilia train station wakati hamna bus station...kweli nyie walevi