My friend. Kama unataka kuja na point unatakiwa ujiandae. Wewe umesema uchumi wa Tanzania umeshikiliwa na wakenya. Nimekuambia uweke proof hapa. Umekimbia. Sasa nikakueleza hao wakenya ni merchants hapa Tanzania, hawana madhara yoyote na uchumi wetu. Nimekupa mambo hayo manne:-
1. Mining
2. Tourism
3. Agriculture
4. Transportation
Nieleze ni makampuni yapi ya kenya yapo kwenye hizo categores.
Naweza kukupa mfano mdogo tu kwenye Agriculture (MeTL) Company la kitanzania ndio lipo kwenye sector hii ya kilimo kwa upana zaidi. Hata kwenye uchuuzi Company ya bakhresa imejikita. Kwenye Agricultural and Livestock processing ni companies za kitanzania zipo eg:-
ASAS
ASAS Group Tanzania
Tanga Fresh
Home
Are you sure you want to battle it out with kenyan dairy products?My friend. Kama unataka kuja na point unatakiwa ujiandae. Wewe umesema uchumi wa Tanzania umeshikiliwa na wakenya. Nimekuambia uweke proof hapa. Umekimbia. Sasa nikakueleza hao wakenya ni merchants hapa Tanzania, hawana madhara yoyote na uchumi wetu. Nimekupa mambo hayo manne:-
1. Mining
2. Tourism
3. Agriculture
4. Transportation
Nieleze ni makampuni yapi ya kenya yapo kwenye hizo categores.
Naweza kukupa mfano mdogo tu kwenye Agriculture (MeTL) Company la kitanzania ndio lipo kwenye sector hii ya kilimo kwa upana zaidi. Hata kwenye uchuuzi Company ya bakhresa imejikita. Kwenye Agricultural and Livestock processing ni companies za kitanzania zipo eg:-
ASAS
ASAS Group Tanzania
Tanga Fresh
Home
I've never bought this thing because i didn't know what it is... Sometimes i just see the matatu touts using them, but if it's an energy drink, I'm never quiting my monster energy drink which is only ksh 160.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Forget commercial clothing companies, we have a lot including international brands like Levi'sWakenya hawataki kuamini wanayoyaona. Lakini ninauhakika baada ya miaka mitatu watazoea kuona bidhaa za Tanzania sokoni.
Hawajui Products za nguo zinatoka MAZAVA morogoro Tanzania.
Mf:
also Vivo and Zoezi sportsSuave
Making trendy popular nairobi swag and spreading rapidly like forest fire to Jo'burg, lagos and I'm sure Dar rich kids cant resist these either
The pink savannah
We need big products my friend, Kenyan companies make it Big, which battle major giants like American Coldstone... We need such:[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hayo matakataka hayajulikani hata hapa TZ. Ni ya kwenu tu. Nimekwambia Kenya company zinapata natural death. Hakuna nguo yoyote ya kikenya inaweza penya TZ.Are you sure you want to battle it out with kenyan dairy products?
Oh boy okay... Daima Kenya has went beyond just dairy products and produces Ice Cream products for Creambell, and is rivaling out with the American Coldstone
Let alone its products
KCC
How about Brookside
Ilara
naona wakenya wamevimba na hasira juu, bro wakitaka kupasuka nitag nishuhudie😀😀😀😀wakenya....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hayo matakataka hayajulikani hata hapa TZ. Ni ya kwenu tu. Nimekwambia Kenya company zinapata natural death. Hakuna nguo yoyote ya kikenya inaweza penya TZ.
Hizo Ice Cream zimejaa TZ za AZAM tena kila kona ya TZ.
Ukiongelea nguo hakuna hata kipande cha kitambaa toka kenya kinaweza penya TZ.
lol.....how can Azam even compete minute maid or even Del Monte..............Kwanza minute maid pulpy orange is something out of this world......kina azam are mere spectators..
they can maybe dominate LDC countries like Uganda or Drc
Del Monte Foods, Inc is a North American food production and distribution company headquartered at 3003 Oak Road, Walnut Creek, California, USA.
Hayo matakataka hayajulikani hata hapa TZ. Ni ya kwenu tu. Nimekwambia Kenya company zinapata natural death. Hakuna nguo yoyote ya kikenya inaweza penya TZ.
Hizo Ice Cream zimejaa TZ za AZAM tena kila kona ya TZ.
Ukiongelea nguo hakuna hata kipande cha kitambaa toka kenya kinaweza penya TZ.
We need big products my friend, Kenyan companies make it Big, which battle major giants like American Coldstone... We need such:
Planet yoghurt...
With branches all over the country.
Sarit centre
Nyali
Garden city
Galleria
Dairy products asas and tanga fresh ndio habari ya uku Tz hakuna izo zenu uku kila mtu asifie vya kwao...kama mm siwez sema lolote juu ya product ambayo sijaitumia!!Are you sure you want to battle it out with kenyan dairy products?
Oh boy okay... Daima Kenya has went beyond just dairy products and produces Ice Cream products for Creambell, and is rivaling out with the American Coldstone
Let alone its products
KCC
How about Brookside
Ilara
na-enjoy to hizi porojo zao za jf.[emoji23] [emoji23]naona wakenya wamevimba na hasira juu, bro wakitaka kupasuka nitag nishuhudie😀😀😀😀
Nakuona wewe ndiye unayeweka vitu tu bila kufuata tunachoongelea. Wewe hapa umesema uchumi wa Tanzania umeshikwa na wakenya. Nikakuambia uthibitishe. Na nikajua kabisa utakuja na blah blah za maziwa nikakuwekea kigingi cha ASAS na Tanga Fresh. Sasa nimekuona umeruka kwa jazba.stop derailing the flow... instead, counter attack by showing your products, international products, sio zile hazijawai vuka mkoa wa Tanga