Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunarudia kusema english sio lugha yetu so usitulazmishe kukijua, china wanaongea lugha yao, russia wanaongea lugha yao, india wanaongea lugha yao, etc nyinyi lugha yenu ni ipi??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa mtihani mnafanya vipi Kama kiingereza kina wachenga
 
They are trying kwa nguvu sana kupambana na sisi huku wakitumiwa na mabwana zao kutoka ulaya lakini wapi.
Hawawezi bro hii train Sio kenya tu hata africa nzima imeshtuka, viwango vya europe kabisa hizi nilikutana na mmoja katika watu wa TRC unaniambia hii reli una system ambayo train ikipita inajua kitu gani kibovu au hakiko sawa alaf inatoa taarifa kua kifaa fulani kwenye train kina hitilafu, alaf kingine akaniambia train ina system ambazo dereva akikimbia sana akipewa alert na control tower asiposikia, basi control tower anaweza kupunguza speed ya train moja kwa moja au kusimamisha kabisa train, alaf akanambia signal zilizofungwa ni more advanced Sana etc
 
Sasa mtihani mnafanya vipi Kama kiingereza kina wachenga
Kingereza ni somo kama masomo mengine, haha ukienda saud arabia au china english ni somo kama mathematics au history, so tunasoma English kama somo lakini sio mother tongue yetu, haya nambie wewe lugha yenu ni ipi???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Butcher iko hvi alaf nyama za kuliwa na binaadamu zinapigwa na vumbi, wadudu wakila Aina wanagusa nyama ya kuliwa na binaadamu alooo πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Kwenye utu na kuthamini mkenya ni kama anasa kubwa Sana

 
Ila kitu napenda kwa mademu wakenya hawaringi Yani unabeba unaondoka hawajui kukataa Hasa ukiwa foreigner ila shida ni moja Tu hawajui kuoga πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…