Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uropokaji wa watu wachache ndio unautumia kama justification!?
Hizo sehemu anazosemea yeye hakuna hata foleni mara nyingi huitumia hiyo barabara.
Foleni ipo kidogo barabara ya chini kuelekea Kimanga na ni kwasababu ipo karibia na kituo cha Mbezi Luis hivyo daladala hupishana kwa wingi.
Ila tunashukuru pale barabara imepanuliwa na zingine zimejengwa za juu ama naweza sema bypass hivyo foleni hakuna hiyo mahala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…