Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama Medical Doctor wa Tanzania ndio analipwa Ksh 70,000, sasa wale wa Public Health like Kosugi wanapata pesa ngapi kwa mwezi?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ

View: https://x.com/zoomafrika1/status/1824092988819083419
Huyo ni yule aliyeanza kazi,pia huyo ni daktari wa degree MD.
Ila wa elimu zaidi wana mshahara tofauti pia.
Mie ni C.O tu.
Halafu hawa Zoom Afrika ni waongo,Sychelles wanalipa mishahara mikubwa sana kuliko hiyo iliyotajwa hapo.
 
Sasa walinzi wa JNIA wanalipwa Shingapi kama doctor anapewa 70k, kuzaliwa vumbistan ni makosa sana ๐Ÿ˜€
Hiyo Ksh 70k unaishi maisha mazuri sana hapa Tanzania.
Tanzania ni nchi yenye nafuu kubwa ya maisha.Ndio maana hukuti tukilalamika gharama za maisha kama Kenya.
 
Sasa walinzi wa JNIA wanalipwa Shingapi kama doctor anapewa 70k, kuzaliwa vumbistan ni makosa sana ๐Ÿ˜€
Wewe unajua Mbona hawana bank accounts? Itโ€™s because pesa wanalipwa ni kidogo yo an extent hawaoni haja ya kufungua bank account ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Huyo ni yule aliyeanza kazi,pia huyo ni daktari wa degree MD.
Ila wa elimu zaidi wana mshahara tofauti pia.
Mie ni C.O tu.
Halafu hawa Zoom Afrika ni waongo,Sychelles wanalipa mishahara mikubwa sana kuliko hiyo iliyotajwa hapo.
So in short your a Certificate Holder? Cause C.Os are not Degree Holders.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ