Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Is there anything like a traditional plan. Well are you saying joburg and Rio have 'traditional plans' planning involves zoning if you have not zoned the city,... believe me the city will fight back at some point. For instance just imagine the number of vehicles doubles, even the BRT will choke
 
nikueleze kwa lugha gani ambayo utaelewa?
Siyo tatizo langu sasa ni tatizo lako. Kwanini usitumie kiswahili kueleza? Sasa unaponiambia unaongea kwa kutumia lugha ya kabila la Sheng, mimi nitajulia wapi?
Haujui kujieleza.
 
Maneno ya mtz mwenzenu

NAIROBI NDO MJI MZURI EAST AFRICA NA MOMBASA UWEZI COMPARE NA TANZANI HAPA DAR ES SALAM MJI UPO KAMA MAFUNGU YA NYANYA MVUA IKINYESHA NI MIMAJI TU ACHENI UBISHI WA KINA MADENGE KENYA WAKO JUU MKUBALI MKATAE NDO MANA KATIKA BEAUTIFUL CITY IN AFRICA KENYA IPO ATA AIRPORT NZURI PIA KENYATA AIR PORT IPO...KAMA UMESHINDWA TATHIMI HIVYO VITU ACHA KUTYP PUMBA UMU NA KUTUTIA AIBU TZ KENYA IZ VERY BEAUTIFUL IN EAST AFRICA.
 
Prove it.
 
nairobi scond airport...look at that plane...kama ile ya Tz airways...😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…