Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jua kali ni zile takataka za Simba na YangaπŸ˜‚πŸ˜‚

Hao Wazungu I met them a day before ya hii mechi, wakaniambia wana mpango wa kwenda kuangalia hii mechi, wametoka Italy 2 weeks ago na tayari wameishasikia ubora wa derby ya Kariakoo. Sasa walienda kama ordinary fans tu, kufika ground jersey zikawatia ndimu, wakapagawa……wakapiga uzi wa Wananchi, kesho yake wanajikuta kwenye pages za Yanga na magazeti, wakatuma kwao kwa rafiki zao, wakabaki wanashangaa hii vibe ya soccer inapatikana Afrika? Na wengine wakasema next time wanakuja na wao, na hivi ndivyo ligi yetu inaenda duniani kama utani, sasa wewe endelea kubinya mapumbu ukidhani itakusaidia.
 
Halafu hizo siti ngumu sana aiseee.
Inaonesha ukizikalia ni sawa umelala benchi la mbao tupu.
No wonder watu wanaopt kulala chini……nimesafiri na SGR usiku sijaona a single person hata anataka kulala zaidi ya a little nap kwenye seat, sasa hao jamaa zetu safari ya masaa 4 behewa zima limechoka mbaya mpaka watu wanalala sakafuni tells a lot about how discomfort that train is……..yaani unalala chini mahala ambapo kila mtu anakanyaga kwa safari ya masaa 4 tu? Aisee hii ni ngijangija kweliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni masaa manne au sita!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…