Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,155
- 107,724
Yani wamecheza na Fountain gate wanajitamba πππππππ.Wamecheza na team ya shule ya mtaani tabata
Fontaine Gate ilimaliza ligi mafasi ya 11 π πYani wamecheza na Fountain gate wanajitamba πππππππ.
Tena wameshinda kigoli kimoja aaagh lamamayeee.
Hawa tungewapa Coastal union
Halafu wametoka nayo moja bila doooh!?Fontaine Gate ilimaliza ligi mafasi ya 11 π π
Halafu kombe unalolinga nalo ni sawa na Uefa conference league.Are you aware Gor is the only club in the original East African Countries with a continental trophy?πππ€£
So siku Yanga or Simba will win one kujeni tuongee.
Yaani haka kadaraja ndio mnasema ni karefu kuliko daraja la jpm kule Mwanza?
Alaf nimeskia mutalipia eti mjapan anataka pesa zake π π π π π πDongo Kundu Bypass Mombasa 25KM
View attachment 3067238
View attachment 3067240
View attachment 3067242
View attachment 3067244
View attachment 3067245
Ulisema ulifika which class?πππ€£When did the last time Gor qualified CAF champions.?πππ
Eti mbio tu? Is that how you console yourselves. Nyinyi mmebaki na nini to begin with?Kitu walichobaki nacho kenya ni mbio tu.
So KIRDI iko South Africa ama?πππ€£The biggest and ultra modern Agricultural laboratory in East and central Africa U/C πΉπΏπΉπΏπ
View attachment 3067342
Who mentioned South Africa ?
Yaani haka kadaraja ndio mnasema ni karefu kuliko daraja la jpm kule Mwanza?
Timu gani Tanzania ishaibeba Hilo Kombe?πππ€£Halafu kombe unalolinga nalo ni sawa na Uefa conference league.
Yani hadhi ya tatu na lishafutwa kwa kuingizwa ndani ya CAF confederation cup.
fis Faras weweπππ
Nimekuuliza kama KIRDI iko South Africa ππWho mentioned South Africa ?