Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Both Yanga and Simba are Gor Mahia’s wivesπŸ˜‚πŸ˜‚
Gormahia nafasi ya ngapi katika viwango vya klabu duniani na Africa!?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unaongelea HISTORIA!?
Ingekuwa historia huwa ina matter basi Barcelona angekuwa yupo chini ya Chelsea hadi sasa.
 
Kitu walichobaki nacho kenya ni mbio tu.
Hawa jamaa wanapenda kuishi kihistoria.
Wamuulize CR belouzdad kilichomkuta.
Au wamuulize El Mereikh si alitamba vivyo hivyo msimu uliopita!?
Au wamuulize TP Mazembe timu ambayo ina historia ya kucheza hadi Fifa club world cup msimu wa juzi Caf confederation alikula tatu kwa Mkapa na moja kwake Congo.
TP Mazembe ambayo kabla hatujawafunga mwaka juzi haikuwahi kufungwa na timu ya Tanzania hata mara moja.
Wakaja na HISTORIA zao lamamaye kilichowakuta Jesus hapendiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Sasa tunamsubiri huyo Gormahia akijichanganya one time moko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…