Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,145
- 33,019
Ruto keshawasoma kumbe ni kelele za tiktok tu.Kima hao tuu hawawezi kumngoa Ruto madarakani🤣
Ndio maana wanaitwa Wakundustan 😂yaani Hadi pombe wanapitisha Matter Cone 😂😂😂😂😂
Wachezaji washed up kutoka kenya ndio vigogo vumbistan. Kuna kitimu chenu flani kocha plus Wachezaji watano wote wakenya. Huku Equity bank huku Sportpesa kule Wachezaji wa 254. Tunajaribu kuwainua lakini bado ninyi ni wachumba 😂😂😂Naona Mkenya Duke Abuya amepenya kwenye first eleven ya Yanga, amejaribu, mana ni ingizo jipya hili, yuko vizuri.
View attachment 3064726
Wivu😁Wachezaji washed up kutoka kenya ndio vigogo vumbistan. Kuna kitimu chenu flani kocha plus Wachezaji watano wote wakenya. Huku Equity bank huku Sportpesa kule Wachezaji wa 254. Tunajaribu kuwainua lakini bado ninyi ni wachumba 😂😂😂
Lil Romeo?… that’s your famous American celebrity?… 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂Wale wa maandamano Nanenane mmefikia wapi?