Wanakwambia wanakijua kizungu. Huyo ni journalist eti, Sasa mtu ambaye hajaenda shule ataongea Nini kama huyu ndio journalist wao?🤣🤣
View: https://vm.tiktok.com/ZMrV1PnW4/
RRONDO
Ikikamilika utaoneshwa.Haya, tuonyeshe Samia Stadium Arusha.
Jana nilikuwa na mtu fulani ana nafasi kwenye kamati za TFF. Nikamchokoza Kenya wataandaa opening na final za AFCON. Akacheka akasema CAF wanataka watu(washabiki)na EA yote watu wako Tz acha hao wapige kekele mtandaoni.Umia kidogo komora,hiyo ni juzi ndani benjamin mkapa!kunyan mngekua n akili sgr yetu ingekupeni somo kubwa sana,eti mnataraji kuona jua kali stadium,mshasahau miaka 4 nyuma mlichokua mnasema kuhusu sgr!
Nionyeshe Kenya mtu mwenye channel ya Youtube ama tiktok anayehoji watu na aliye na umaarufu yet hakijui kiingereza fluent. huyo zuzu sijui Hamorapa achana naye maanake yeye ni busybody tu wa mtaa. Huyo anayemhoji ndio anatia huruma.Wewe nae huyo anaehojiwa na anaehoji wote sawa. Siku hizi kila mwenye tiktok au any social media account anakuwa mwandishi. Acha kuvunjia heshima journalists. Huyo hamorapa sijui kitu gani unamfahamu?
Huyo anaemhoji nae ni wale wale tu. Sina muda wa kutafuta channels za YouTube Kenya. Ila Tz haihitaji uwe journalist ili uweze kuhoji watu na kutuma video clips tiktok.Nionyeshe Kenya mtu mwenye channel ya Youtube ama tiktok anayeoji watu na aliye na umaarufu yet hakijui kiingereza fluent. huyo zuzu sijui Hamorapa achana naye maanake yeye ni busybody tu wa mtaa. Huyo anayemhoji ndio anatia huruma.
Kumbe ni 80 cars tu kwa miaka 13? Purchasing power ya East Africa powerhouse iko wapi?Teargas nilikwambia mm ukaniona sina akili haya kiko wapi SASA😂😂😂😂
Huwez tengeneza gari 80 kwa miaka 13 alaf useme ni kiwanda cha kutegemea faida never ever 😂😂😂😂
Kenya imekufa inanuka imeoza
Sasa umeuliza Mtanzania akakujibu Tanzania alafu unajipiga kifua? Yani ni kama umuulize shabiki wa Simba kati ya Simba na Yanga gani kali, akishaajibu simba uanze kufurahia kisa wewe ni shabiki wa Simba pia. Yani Wabongo mnachekesha. 😂😂Jana nilikuwa na mtu fulani ana nafasi kwenye kamati za TFF. Nikamchokoza Kenya wataandaa opening na final za AFCON. Akacheka akasema CAF wanataka watu(washabiki)na EA yote watu wako Tz acha hao wapige kekele mtandaoni.
Yani ni vichekesho bro alaf mbaya zaidi gari ni ghali kuliko probox kwann probox isiue kiwanda 😂😂😂😂Kumbe ni 80 cars tu kwa miaka 13? Purchasing power ya East Africa powerhouse iko wapi?
Sawa. Kesho nitamuuliza Mkenya.Sasa umeuliza Mtanzania akakujibu Tanzania alafu unajipiga kifua? Yani ni kama umuulize shabiki wa Simba kati ya Simba na Yanga gani kali, akishaajibu simba uanze kufurahia kisa wewe ni shabiki wa Simba pia. Yani Wabongo mnachekesha. 😂😂
Huo ndio ukweli mkuuJana nilikuwa na mtu fulani ana nafasi kwenye kamati za TFF. Nikamchokoza Kenya wataandaa opening na final za AFCON. Akacheka akasema CAF wanataka watu(washabiki)na EA yote watu wako Tz acha hao wapige kekele mtandaoni.
Hata logic yako haimake sense. Football hosting inakuwa determined na infrastructure, sio tu mapenzi kwa mpira otherwise nchi kama Marekani haingekuwa inahost world cup kwa mara ya pili kabla Portugal ihost. Qatar haingehost kabla nchi nyingi za Africa na South America zihost. Halafu 2026 World Cup inachezwa USA, Mexico na Canada, kwa hizo nchi ni Mexico ndio wapenzi wa mpira zaidi ila Final March itachezwa USA. Kenya sahii tunajenga the best stadium in the region utakuwa mwehu kudhani wataacha hiyo stadium walete bongo kisa Simba na Yanga zinajaza stadium.Sawa. Kesho nitamuuliza Mkenya.
Unapoteza muda. Just read first line.Hata logic yako haimake sense. Football hosting inakuwa determined na infrastructure, sio tu mapenzi kwa mpira otherwise nchi kama Marekani haingekuwa inahost world cup kwa mara ya pili kabla Portugal ihost. Qatar haingehost kabla nchi nyingi za Africa na South America zihost. Halafu 2026 World Cup inachezwa USA, Mexico na Canada, kwa hizo nchi ni Mexico ndio wapenzi wa mpira zaidi ila Final March itachezwa USA. Kenya sahii tunajenga the best stadium in the region utakuwa mwehu kudhani wataacha hiyo stadium walete bongo kisa Simba na Yanga zinajaza stadium.