Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha kulialia wewe mbwa show us your double stack wagonπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£.

Habari ni ya 2018, today is 2024. Wapi hizo double stack wagons basi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£
 
Kwanza hatuongei na mafukara yasioweza hata kuafford nuts za kukazia railway, tuna uwezo wa kuwalipia deni lote la SGR ya mchina tuwaset free kwenye makusanyo yetu ya miezi mitatu

View attachment 3060109
Mmezoea kudanganywaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£.

Tsh 10 Trillion is equivalent to 3.7B dollars. Now let’s see who is saying the truthπŸ˜‚πŸ˜‚

Loans zenye mmepata for Lot 1 and 2 alone are more than $3.7BπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡


 
Unafikiri sisi ni kama nyie🀣🀣🀣

Usifananishe Tanzania na nchi za hovyo sisi sio level yenu!! Tulimtoa mchina pale ndo akawekwa muhindi....besides ana gati 5 tu, sio bandari yote!!
Kwani Dar port ina gati ngapi kama sio tano?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Hivi hawa hawanaga jirani mwingine? Mbona kila siku Tanzania tu? Huko Somalia, Sudan, Ethiopia hakuna barabara? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


View: https://x.com/MaraNomads/status/1819618828168352068?t=jGCqUwJ580XSK6SFnsbAOg&s=19
Does Tanzanians even have such financial muscles to tour neighboring countries using such fuel guzzling machines?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£.

Watanzania wanaovuka boda Mara kwa mara ni omba omba na wanaouva dawa za kulevya πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Tuna financial muscles kufinance billions of dollars in nyerere dam na electric SGR tukose ya kuzurura, nioneshe hata km 1 ya lami mliyojenga wenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…