Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Lengo ilikuwa Mganda, sasa tulia waanze ujenzi mwisho wa mwaka na sisi tufufue mnyama mpaka malaba. Nakwambia 2M passengers ndio itakua idadi ndogo ya abiria kwa mwezi manake hio corridor haina mwenzake EACSGR yenu ingekuwa profitable mchina angeendelea na ujenzi maana anajenga mwenyewe anakusanya nauli mwenyewe sasa kwanini haendelei na ujenzi kama sio kasanuka na huo mradi kuwa ni white elephant?
Nani kakwambia garama hazizidi 2M? What about workers? Wanalipwa na nini? What about track maintanance? Inafanywa na nini? Waht about station mauntainance? Inafanywa na nini? What about train maintanance? Hiyo itafanywa na nini? What about all other things related to SGR operation? Zinalipwa na nini? Ama unadhani profit and loss of a train only come from revenue passengers and electricity usage? SGR is not trains alone🤣🤣😂Kila safari moja treni inabeba kuanzia abiria 500 kwenda juu.
Tufanye abiria 500 ambapo kwa kila mmoja angelipa 13000.
13000x500=6,500,000.
Gharama ya umeme haizidi 2milions,tufanye utoe na 1 million ya Korokoro ndogondogo ndani ya treni.
Unabakiwa na shingapi!?
Kwanza Dar Port hile ya warabu na wahindi ina Gantry cranes ngapi?😂😂4 Rubber Tyred Gantry Cranes (RTGs) arrive at Mombasa Port. Port kubwa inayomilikiwa na watanzania ni tanga 😂😂😂
View attachment 3058924View attachment 3058925View attachment 3058926
Acha tuone, ila wahindi nao sometimes ni wazinguaji sana.
Anguko la port of dar slum limefika, KPA wakue aggressive sasa.Tunawanyang’anya their customers because of their inefficiency. Waiting time at Mombasa is 4days while in Dar you will have to wait for 25 days🤣🤣😂😂👇👇👇
View: https://x.com/cobbo3/status/1819067423682654544
Gharama ya umeme Dar Moro ni 625k Dar Dom 1.2mKila safari moja treni inabeba kuanzia abiria 500 kwenda juu.
Tufanye abiria 500 ambapo kwa kila mmoja angelipa 13000.
13000x500=6,500,000.
Gharama ya umeme haizidi 2milions,tufanye utoe na 1 million ya Korokoro ndogondogo ndani ya treni.
Unabakiwa na shingapi!?
When did Dar Port ever stand?😂😂🤣 It has been down all along against Mombasa port?😂😂Anguko la port of dar slum limefika, KPA wakue aggressive sasa.
Nyingi ni za madhehebu ya diniHuko Mbeya mnafanya nn na radio stations 21?
What i mean is complete death.When did Dar Port ever stand?😂😂🤣 It has been down all along against Mombasa port?😂😂
Kule Dar Port abiria wanashushwa in an open space kama mizigo😂Mombasa boast of the only cruise ship terminal in EACView attachment 3058936
🤣🤣What i mean is complete death.
Sawa mchina atakubali kutoa pesa?Lengo ilikuwa Mganda, sasa tulia waanze ujenzi mwisho wa mwaka na sisi tufufue mnyama mpaka malaba. Nakwambia 2M passengers ndio itakua idadi ndogo ya abiria kwa mwezi manake hio corridor haina mwenzake EAC