Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeamini wakenya wanaumia sana. Huyu Teargas anawakilisha minds za wakenya wote. 🀣 🀣 🀣
Hakuna mkenya hajaumia na Hasa Tanzania ikifanya Jambo kubwa wao huumia Sana wakidhani Tanzania ni mhasimu waoπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Na hakuna Taifa linaiogopa Tanzania kama wakenya, Yani juzi Tu nimetoka Kenya ukiwaskia maneno Yao juu ya Tanzania unagundua waoga Sana hawa jamaa
 
This is the reason why nobody wants to build skyscrapers in Tz. They fear their buildings will remain vacant forever πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

Look at those twin towers with no tenants
One wing ni kama haina tenants kabisa. Hata GTC ilikamilika just the other day but look at the occupancy!
 
Maandamano yao yalianza baada ya June 14. Tulipozindua Electric SGR yetu. 🀣 🀣 🀣
 
Maandamano yao yalianza baada ya June 14. Tulipozindua Electric SGR yetu. 🀣 🀣 🀣
Ndio Yani benchmark Yao SASA hvi ni Tanzania, na SASA wako nyuma ya wakat kwasababu walisifiana Sana wakaficha maradhi Leo wanaamka hawana hata CAF standard stadium wanaanza kuchapana bakora SASAπŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…