Na hio 500k usiamini Sana imepikwa ikapikika hua hawana data za ukweli π π πData imetolewa leo TRC carries 8k pax per day. Sasa fanya hesabu per month ni 240k. For 3 months ni 720k yenu inabeba 500k per 3 months
Unless hukua na taarifa π π π
View: https://x.com/NationAfrica/status/1461348565435830279?t=dUOG7Vga1oUbRSYGbtCaQw&s=19
View: https://x.com/KenyaRailways_/status/1461296495664242696?t=5ghHOKorBMezTXzn0RaDcA&s=19
Pain for Passengers as Nairobi-bound SGR Train Stalls
Kenya Railways Corporation has issued an update after one of their Inter-county trains from Mombasa to Nairobi stalled.www.nairobileo.co.ke
Kwani wakenya mshafikisha mipakani?Some people thought Uganda would use their SGRπππ€£
View: https://x.com/PatroUganda/status/1818680520592498863
Hapo haya mahesabu yalijumuishwa bila route ya Dodoma kuanza numbers kamili zitapatikana kuanzia route ya Dom ilipoanza.
Halafu ukisoma maelezo yao eti imekutwa kwa mtu aliyekuwa akisafiri from Uganda to Rwanda via Kenya dah hata geography inakataa sentensi kama hii, it does not make sense unless the motive was to mention TanzaniaHaya majamaa ******* sana yaani yanalazimisha kuihusisha Tanzania kwenye majanga yao
Climate change is a hoaxNa mambo ya climate change yanavyoenda more countries are shifting to eco friendly mode of transport.
Siku SGR ya kenya itafika malaba itabeba abiria 2M kwa mwezi.Wewe mbwa Teargas official statements zimetoka huku ππ Dar-Moro pekee ishapiga 188k pax in a month. ππΎ
View: https://www.instagram.com/p/C-Hy5rtqAy7/?igsh=MTZ4dzVyZHB4MWk4OA==. We are travellers. ππ jua hiv The second busiest city ni Mwanza ππ hii treni ikifika Mwanza basi ujue kwa mwezi kusafirisha watu 800k-1 million litakua jambo la kawaida. πππ sisi ni bora kuliko nyie mbwa tu.
Battle imemshinda huyu πππWakuu, kwanini mnalinganisha vitu viwili tofauti? SGR yetu ni tofauti kabisa na ya Kenya, achaneni nao wajifariji.
Hata hii Twin Tower ya 37 floors ilianza hivo, now itβs taller than any building in Tanzania πππ€£ππTwi
Twin tower inajengwa kwa Chepe na magari chakavu na wafanyakazi waliovaa ndala baada ya safety boots?
Leo mbwa anafananisha France na Tanzania ππππView attachment 3058479
Zingatia tarehe ww bwege,ushamba umekujaa,hiyo ni kitu ya kawaida
7k tena imegeuka na kuwa 8k?πππ€£π€£. Two routes in Tanzania is 7k per day, one route in Kenya is 9k per monthπππ€£π€£Data imetolewa leo TRC carries 8k pax per day. Sasa fanya hesabu per month ni 240k. For 3 months ni 720k yenu inabeba 500k per 3 months
Utalia hadi ukufe, Iβm sure yenu ndio imepikwa π€£π€£ππNa hio 500k usiamini Sana imepikwa ikapikika hua hawana data za ukweli π π π
Ebu tuambie ziliwekwa wapi juu wewe ndio ulisema ati mzigo zimeletwa Dar πππ€£Walileta na kuziweka wapi?
Route moja tu ya Nairobi Mombasa inabeba abiria 9k kwa siku. Hao route mbili ya Dar-Moro and Dar-Dom inabeba abiria 7k per dayπππ€£π€£Siku SGR ya kenya itafika malaba itabeba abiria 2M kwa mwezi.
Malaba ni mbali. SGR ikigika kisumu tutakuwa tunaongelea 2M kwa mwezi. Those westerners like to travel home.Siku SGR ya kenya itafika malaba itabeba abiria 2M kwa mwezi.