Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jinsi mlivyochapwa na dsm adi mnaweka picha za ajabajab ili kuichafua dsm
Ni vizuri umekubali kwamba hizo picha ni ajabu ajabu. Hiyo ndiyo Dar yenu mnayofananisha na Nairobi. However much you try to make Dar look pleasing, the reality is in the above pictures. That Is the real Dar es Salaam. It is just one slummy city
 
We jamaa hats haukui akili zako no zakipumbavu....sana ...yaan ushaanza kupost matope[emoji30] [emoji30] [emoji30]
by the way, vipi kuhusu ndege za bombadier?πŸ˜€πŸ˜€ yale mitungi yenu yamo ama mmeamua kubebea chang'aa? abiria wote wanatumia th prid of Africa KQ na Ethiopian airways..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…