Slow compared to thisπππ€£π€£ππWivu utakuua mngese ww
Facts are stubborn πππ€£ππUnajifurahisha.
Hizi ni clip za kutengeneza ni aibu kufanya ujinga wa namna hii! Kwenye hizo clip hakuna kichwa cha treni, yaani linapita tu body, how possible is that?Slow compared to thisπππ€£π€£ππ
View: https://youtube.com/shorts/xGaLVbtKVVk?si=t0db1nuePmYL44xw
Masaa 6 utofauti wa bus na treni ni upi sasa? π€£π€£π€£Matatizo makubwa Kunyaland hawawezi yakwepa na yanayowaumiza sana wakiona sgr yao ππππ
View attachment 3054560View attachment 3054561View attachment 3054562View attachment 3054563View attachment 3054564
Masaa 6 utofauti wa bus na reni ni upi sasa?Matatizo makubwa Kunyaland hawawezi yakwepa na yanayowaumiza sana wakiona sgr yao ππππ
View attachment 3054560View attachment 3054561View attachment 3054562View attachment 3054563View attachment 3054564
What luxury are you talking about without air conditioning, video screens or WiFi?You have given up on luxury matters?πππ€£
Kunyan hawatuwezi kwa vitu vingi tu sio sgr only waambie wakuonyeshee bus stands zao,soko kama la magomeni au kisutu kwa kundustan ni mallKuhusu sgr wakenya mkubali na mmove on, hata mkijichetuaje haitabadirisha kitu ooteππ
Ukiona picha za kibera jua kwamba mtu kazidiwa π¬π¬πView attachment 3054426
Wakitoka huko wanafikia kibera π
Ukiona picha za kibera jua kwamba mtu kazidiwa π¬π¬π
Watafika tu sgr yao ikamaliza hii toba πππMasaa 6 utofauti wa bus na treni ni upi sasa? π€£π€£π€£
Big Nation hii, level zenu ni za kibera.View attachment 3054609View attachment 3054610View attachment 3054611
Usa ya africa uwa tunawakimbushia uhalisia wenu maana uwa mnajisahau sana
Uchungu unaopitia naujua, mmepigwa π¬ππWakenya hivi hili nginjanginja lenu eti tram liliishiaga wapi? ππ Mbona mnapenda kutupa vitu nusunusu? πππ Ila uhuru alijua kuwakomesha, price tag ya hili dubwana unaweza jenga sgr mpaka mpaka Libya πππ
View attachment 3054617View attachment 3054618View attachment 3054620View attachment 3054621
Ebu nyanyua camera juu kidogo kuna kitu unaficha.
Hizo seats za kuangaliana zipo sehemu mbili tu na kwa ushamba wako unafikiri hazipaswi kuwepo! Ni kwa ajili ya group travel kama familia au watu wanaojuana na kusafiri pamoja per request! Usichanganye na yale mabehewa yenyu yanayolalamikiwa kuangaliana na stranger ananuka changβaa the whole 8 hours journey between Nairobi and Mombasa!