Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mchina knows how to toy with your brains 🀣🀣🀣
Hagusi pertinent issues za kwenye SGR bali anacheza na visible features tuu kama kiini macho 😁
 
Things that you will never see in Tanzanian SGR. Alafu wanataka kujilinganisha na KenyaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View attachment 3054420

Kitchen
View attachment 3054421

nafikiri pia kuna tofauti kati ya treni yetu na ya kenya, kenya kwa maoni yangu imekaa kiutalii zaidi na ndiyo maana utaisikia sana holliday season watu ndiyo hupanda kwenda mombasa lkn treni yetu ni ya kuhudumia watanzania wa kila siku wafanyabiasha au wafanyakazi wanatoka Dar asubuhi kuwahi Moro jioni kurudi hivyo haijakaa kiutalii sana kwa kifupi treni yetu ni kazi na watu watakuwa wanaitegemea ni kama maisha yetu, wakati ya kenya ni leisure, hivyo ndivyo nionavyo mimi tofauti ilipo, ukiondoa holliday treni ya kenya ni kama haina kazi …
 
Mchina knows how to toy with your brains 🀣🀣🀣
Hagusi pertinent issues za kwenye SGR bali anacheza na visible features tuu kama kiini macho 😁
You have given up on luxury matters?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Sasa mmeanza kupeana excuses after mmeona luxuxry levels za trains za Kenya?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…