Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii story ya maximum speed inanichelesha sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anyway share with us the train schedule from Nairobi -Mombasa watu wa nataka kulingalisha which one goes faster πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
How we decide to regulate our train speed is up to us. Tukipenda hata tunaezaweka restrictions of trains not going above 10km/h.

But the truth will always remain pale kwa speedometer. One has 200km/h maximum speed and another one has 180km/h and 165km/h maximum speed. Which one among the three has higher speed?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Hiyo ni garimoshi sio train
Now these are the effects of not going to schoolπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚. What’s train according to you? Elimu ni kitu muhimu kijanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Nadhani unanijua. Unakumbuka ulipigwa ban. So unatakiwa uwe mstaarabu. Hatuwezi kuwa na mada kama wavuta bangi hapa. We are discussing serious issues.

So unatakiwa kukubaliana na uhalisia. La sivyo nitaanza tena..
Nimemtupa ignore list huyo mbuzi. Kwasababu anaandika upuuzi ambao inabidi ufumue fuvu lake umuweke sawa. Sasa kuokoa muda wangu ni heri nisione pumba zake.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umegoma kuleta train schedule?

Anyway hiyo exra speed ya hiyo treni yenu ni ya nini? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Sasa mzee ikiwa treni yetu inachukua only 3 hours Kufika dodoma while your train takes 6 hours to do the journey of same distance that of Dar~Dom, then which train is faster? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kenyan trains have higher maximum speed than Tanzanian trains. Ni nini huelewi hapo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Is it not a train?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£.

Remember hiyo gari moshi iko na high speed than yenu ya electricity πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Yes it is. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸΎhii treni inatumia makaa ya mawe? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ au pet coke? πŸ‘‡πŸΎ
 
Kenyan trains have higher maximum speed than Tanzanian trains. Ni nini huelewi hapo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ but your train schedule says vise versa.

Hiyo max speed inatumika mbinguni? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚au ukiwa unaota usingizini?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ but your train schedule says vise versa.

Hiyo max speed inatumika mbinguni? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚au ukiwa unaota usingizini?
So ukiwa na gari inaezaenda a speed of 260km/h but wewe kama mwenyeji umeamua kuiendesha at 60km/h so inamaanisha highest speed ya hiyo gari sio 260km/h? Ebu nikumbushe level yako ya elimuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ heb post ile train schedule I want to show you something.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…