Waongeze madirisha ya kukata ticket zifike hata 10 au 15 au wajenge jengo separate nje kwa ajili ya kukata ticket na Ku print ticket ili kuondoa foleni kabisa
Zile escallator Dar Tanzanite station zilipaswa kuwa na ngazi katikati kama hivi pia!Vitu hivi Kundustan hawapendi kuviona
View attachment 3051537
View attachment 3051540
View attachment 3051551
View attachment 3051555
Waliomba waoneshwe 1cm of electrified SGR now wanalia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂 Juzi waliomba waoneshwe pazia za ndani 😅😅😅 wanazidi kuporomoka beiWaliomba waoneshwe 1cm of electrified SGR now wanalia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aki hizi stations zetu za SGR ni kama airport terminals 😁 zile nyingine ni kama bus terminals 🤣🤣🤣