Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Kama hupendi nenda kalalamike mimi sitakusaidia.Umesema TBT ukimaanisha hazitumiki tena au ww unafkiri mchina ni mwendawazimu kama nyinyi π π π π π
Bora kwenu?πππ€£π€£Hata msemeje kwasasa inatambulika kuwa Tanzania ina reli bora ya SGR na locomotives bora ukanda huu wa Afrika mashariki na kati.
Haya funga haraka sana π π π πUkileta evidence mtu akilalamika kuhusu noise na kutikisika kwa treni ya kenya naondoke jf
Treni ina mambo yaki dwanzi sana.Bora kwenu?πππ€£π€£
Ebu niambie hapa kiwete anaingiaje?πππππ€£
View attachment 3050200
Simuoni ndani ya sgr ya kenyaHaya funga haraka sana π π π π
View: https://x.com/scentor/status/1767306778130141274?t=zj2twdRvEwDPMRUxGtWVDQ&s=19
Funga ACC haraka π π π πSimuoni ndani ya sgr ya kenya
Mshasema sgr railway yetu ikifika km 200 mtaondoka jf but still mpo hapa,halafu kikuyu na kalenjini leo mko road na nyinyi kumsapoti ruto,sie tunawachora tu mkianza kimungikiana mtafikia refugees camp kama tulivyowaweka wacongo,burundi na warwanda,amtopata chance ya kujichanganya na sisi mitaaniUkileta evidence mtu akilalamika kuhusu noise na kutikisika kwa treni ya kenya naondoke jf
Taratibu zipo za kuingizwa kiwete.Bora kwenu?πππ€£π€£
Ebu niambie hapa kiwete anaingiaje?πππππ€£
View attachment 3050200
Haya sasa mpe mama simu niongee nae.Mshasema sgr railway yetu ikifika km 200 mtaondoka jf but still mpo hapa,halafu kikuyu na kalenjini leo mko road na nyinyi kumsapoti ruto,sie tunawachora tu mkianza kimungikiana mtafikia refugees camp kama tulivyowaweka wacongo,burundi na warwanda,amtopata chance ya kujichanganya na sisi mitaani
Ebu tuonyeshe hao viwete wanaingia vipi.Taratibu zipo za kuingizwa kiwete.
Hata NGR iko kama hivyo na viwete wanaingia.
Kuna vifaa vya kuweka hapo kama itaonekana kuna kiwete.
Alafu mbona mjenge shade bonoko kama hii?π€£π€£ππTaratibu zipo za kuingizwa kiwete.
Hata NGR iko kama hivyo na viwete wanaingia.
Kuna vifaa vya kuweka hapo kama itaonekana kuna kiwete.
kuna ramp! isitosheBora kwenu?πππ€£π€£
Ebu niambie hapa kiwete anaingiaje?πππππ€£
View attachment 3050200
Poor workmanship.Alafu mbona mjenge shade bonoko kama hii?π€£π€£ππ
Unashuka tu hivi unanyeshewa na mvua. See the distance between the edge of the shade and the train doorπππ€£ππ
View attachment 3050215
Kuna watu wakuwasukuma kwenye ramp ama mpaka mhisanikuna ramp!
Rasha shonde ndo nani??Kutwa wako tiktok wakililia SGR ya Tanzaniaπ€£
View: https://x.com/RashdaZunde/status/1810239882440196558?t=Rqi5X4PB7J70zo9ujRtGpA&s=19
Sikiliza mkenya mwenzako akilia SGR ya TZ π€£Rasha shonde ndo nani??
Wapi ramp hapa? Huyo jamaa ameruka ndio akaingia ndaniπππkuna ramp!