chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,721
- 46,032
kundustan mgr yao ni takataka kabisa maana hiyo diesel sgr yao hata mgr yetu iko vizuriEquals to our deluxe trains MGR.
Yani mabehewa yenu ya SGR na mabehewa yetu ya MGR ya deluxe hayana tofauti.
View attachment 3049495
SIku tuliyolaunch rasmi dar-moro route ndio siku kunyan walianza maandamano sababu ya wivu,ruto anawapoza na behewa za mchongo ila kunyan bado awaelewi π
Kitu chochote cha maendeleo kikifanyika TZ lazima kundustan kizue taharuki,dar-moro route imeleta machafuko kundustan mpk leo akujatulia π
Leo wanaaenda kuiteka JKIA π π πKitu chochote cha maendeleo kikifanyika TZ lazima kundustan kizue taharuki,dar-moro route imeleta machafuko kundustan mpk leo akujatulia π
Nani anaweza kulipa 500,000 TSH go and return Nairobi to Mombasa in a 6hrs train π πSIku tuliyolaunch rasmi dar-route ndio siku kunyan walianza maandamano sababu ya wivu,ruto anawapoza na behewa za mchongo ila kunyan bado awaelewi π
Hivi ile mibehewa ya ghorofa ilikua ya mgr nini,ianze route aisee ili mungiki waanze kufanya yao kundustanLeo wanaaenda kuiteka JKIA π π π
Sisi tutapokea ndege zao zote ili walipe landing fees na hotel zetu zifanye biashara
Hapana ni ya SGR wanasubiri vichwa kutoka Germany bado kuna set pia zinakuja hazijakamilika badoHivi ile mibehewa ya ghorofa ilikua ya mgr nini,ianze route aisee ili mungiki waanze kufanya yao kundustan
Hatari mkuu,kundustan watauana siku zikianza kaziHapana ni ya SGR wanasubiri vichwa kutoka Germany bado kuna set pia zinakuja hazijakamilika bado
π π π Sisi ni furaha kwetu tuone Ile USA ya Africa inavotaabikaHatari mkuu,kundustan watauana siku zikianza kazi