Kwani ya Mtito Andei imejengwa aje?πππHiko kituo kidogo ulitaka kijengwaje?
Treni yenu imeandikwa max speed.Hata hii Hiace pia naona hapa imeandikwa 80km/h. Does it mean it canβt go beyond 80km/h?πππ
View attachment 3049038
Kama maximum speed ya trains zetu ni 100km/h then how come ilifika 120km/h hapa? Wewe unakuanga tu kondooπππTreni yenu imeandikwa max speed.
Hiyo imeandikwa speed inayotakiwa kwenda mwisho ni 80kph
Hizo alama nyekundu zinaashiria nini!?Kama maximum speed ya trains zetu ni 100km/h then how come ilifika 120km/h hapa? Wewe unakuanga tu kondooπππ
View attachment 3049074
Hii naitunza kwa matumizi ya baadae π π π
Mtunze na mumeo uwache ukiranga.Hii naitunza kwa matumizi ya baadae π π π
Sisi tunajenga kiuhitaji.Kwani ya Mtito Andei imejengwa aje?πππ
Build something appealing, not those toilets mmejenga Soga na Puguππ
So umeshindwa kujibu how the train reached 120km/h when itβs maximum speed is 80km/h?πππHizo alama nyekundu zinaashiria nini!?
Mpaka leo hukunijibu hili swali
Kenya kwa mwezi mna rekodi ya abiria wangapi wa SGR!?Mtunze na mumeo uwache ukiranga.
Kenya kwa mwezi mna rekodi ya abiria wangapi?So umeshindwa kujibu how the train reached 120km/h when itβs maximum speed is 80km/h?πππ
Unaezalia na hii piaππππ
View attachment 3049079
Hata hii pia mlijenga kulinga na mahitaji, sindio?ππππSisi tunajenga kiuhitaji.
Jengo kubwa station ndogo inayo accomodate abiria wachache ya nini!?
Ndio maana mradi wenu ni white elephant pesa mingi hakuna la maana lililoakisiwa.
Umeachana na speed tena ?πππKenya kwa mwezi mna rekodi ya abiria wangapi?
Once ushamba ukiisha, tutalinganisha idadi ya abiria.Kenya kwa mwezi mna rekodi ya abiria wangapi wa SGR!?
Hilo eneo nadhani kuna mtu alileta taarifa kuwa lishakarabatiwa.
Hivi unapata wapi ujasiri wa kujichekesha namna hiyo?Tukupatie speakers upige nazo nduru? Najua unaumia πππ€£π€£π€£
Kenyan SGR
View attachment 3049002
Vs
SGR ya mbuziππππ
View attachment 3049003
π€π€ππππNibishane speed na wewe ni kupoteza muda.Umeachana na speed tena ?πππ
ππππππHuna hoja wewe.Once ushamba ukiisha, tutalinganisha idadi ya abiria.
Kusafiri sio shida. Hapa tunaongelea maximum speed.πππ€π€ππππNibishane speed na wewe ni kupoteza muda.
Sisi tunasafiri chini ya masaa manne je ninyi mmewahi?
Endelea kuumia. Hii hapa ilikuwa 120km/h na haikuangukaπππ.
What you are posting is MGR trains.
View attachment 3049064
Tuambia kumbe hii treni inatumia masaa mangapi kufika mombasa? πππ usihangaike na hizo picha.. leta ratiba ya hii treni.Kama maximum speed ya trains zetu ni 100km/h then how come ilifika 120km/h hapa? Wewe unakuanga tu kondooπππ
View attachment 3049074