Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mlitakiwa muwe na hizo coaches all classes sababu masaa 7 πŸš‚πŸš‚πŸš‚naislum to mombasa sitting upright lazima spinal cord ihame πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mbuzi analamikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£.

New economy Class Coach. Hapa hakuna kuangaliana kama kondoo🀣🀣
 
Hasira imekupanda kweli kweli after kuona new Kenyan coaches🀣🀣🀣
Wee Teargas .. Ile ban yako was like a refueling stop…umerundi na moto kali..πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£β€¦ I don’t think they will ban you again….🀣
 
Mbuzi analamikaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£.

New economy Class Coach. Hapa hakuna kuangaliana kama kondoo🀣🀣
View attachment 3049008
Na haina cameras, Wi-Fi, screens, recliners, AC, bullet speed, electric powered usivyo na akili upo haba unabanter πŸš‚πŸš‚πŸš‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
We umedata !?
Hiyo ni picha ya jengo ndio linaanza kujengwa la bunge la kale miaka ya 1960s.
Jengo jipya halikubomolewa bali kukarabatiwa na kusanifiwa zaidi.
Hata wenzako wanakushangaa tu.πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wee Teargas .. Ile ban yako was like a refueling stop…umerundi na moto kali..πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£β€¦ I don’t think they will ban you again….🀣
Acha wapewe vichapoπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na haina cameras, Wi-Fi, screens, recliners, AC, bullet speed, electric powered usivyo na akili upo haba unabanter πŸš‚πŸš‚πŸš‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
This time mtatamani mkufeπŸ˜‚πŸ˜‚

Kenyan intermediary SGR Station





Vs Tanzanian SGR CowshedsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…