The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Sasa wewe kichaa ndo umeweka nn, hata iwe comfortable vp haina maana coz reli yenu ni jointed lazima abiria arushwe rushwe, reli yenu haisapot speed kubwa na pia ni outdated hata ulie.Walisema tumeiba picha za nchi zingine? Obviously they will not believe.πππππ
View attachment 3048727
View attachment 3048730
We kweli makalio.Anasema limekuwa tangu Uhuru yet Dodoma imechaguliwa kuwa capital mwaka wa 1996 na shughuli za utawala zimeanza kupelekwa huko majuzijuzi tu. Bunge la kwanza limefanywa Dodoma mwaka wa 2017. Yani huyu mtoto achana tu naye.ππ
Hasira za uwatchman usituletee hapa.Sasa wewe kichaa ndo umeweka nn, hata iwe comfortable vp haina maana coz reli yenu ni jointed lazima abiria arushwe rushwe, reli yenu haisapot speed kubwa na pia ni outdated hata ulie.
But the current Dodoma Parliament was built in 2006ππWe kweli makalio.
Bunge la kwanza lilianza kufanyika Dodoma 1970s katika kumbi za Pius Msekwa.
Yani wewe ujue historia yetu kuliko sisi!?
Hivi wewe kwa akili zako unaweza ku compare SGR ya Kenya vs Tanzania? Acheni uchale.Wachawi wanaandika wakifuta πππππ
Hiyo ni economy.Comfortable bullet trains πππView attachment 3048926
Alafu ina maana gani kukaa hapo wakati anarushwa rushwa kama mzigoKwani unatuoangia vile tunaendesha trains zetu?πππ
You can only dream of such seatsππ
View attachment 3048774
View attachment 3048777
View attachment 3048778
Hii project ni ya kiwango cha juu sana. stations na trains ni world class.
Umeona economy class yetu, Kuna haja gani ya Mchongoko wenye interior ya matatu πHiyo ni economy.
Bado business na VIP class,Je umeona mabehewa yake!?
Pia treni zetu huchukua muda mfupi wa safari hivyo hauchoki.
Dahh aloo π¬π¬π¬Hii project ni ya kiwango cha juu sana. stations na trains ni world class.
Sisi tunajenga kitu kulingana na mahitaji.Kwani ni Olympics za treni?
We jamaa fala kweli, sasa unafananisha huu uchafu na train za Tanzania full AC? Wapi wanacharge devices kwenye hii class? Wifi ipo wapi? Seat recline zipo wapi? Screens zipo wapi? Security cameras zipo wapi?
πππSisi tunajenga kitu kulingana na mahitaji.
Wivu unakusumbuaπUmeona economy class yetu, Kuna haja gani ya Mchongoko wenye interior ya matatu π
πππ¬π¬π¬We jamaa fala kweli, sasa unafananisha huu uchafu na train za Tanzania full AC? Wapi wanacharge devices kwenye hii class? Wifi ipo wapi? Seat recline zipo wapi? Screens zipo wapi? Security cameras zipo wapi?
Unaumia ukiwa wapi?ππππππWe jamaa fala kweli, sasa unafananisha huu uchafu na train za Tanzania full AC? Wapi wanacharge devices kwenye hii class? Wifi ipo wapi? Seat recline zipo wapi? Screens zipo wapi? Security cameras zipo wapi?
You will never have this class in your railway operationsπππ¬π¬π¬View attachment 3048983
Hata 5 hazivifiki na bado ni kituko tu, bado mtaendelea kukalia yale majabali for the rest of the substandard Chinese railway existenceWewe umechanganyikiwa. Unataka nikuonyeshe zikitumika yet hizo coaches zimeshuswa juzi?π€£π€£π€£π.
View attachment 3048864