Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Hii ilikuwa imenipita, mzee unajua kweli maana ya civil servant.Tanzanian total workforce ni mara tatu ya Kenya na alomost mara mbili ile ya South Africa. Wasouth walifanya komparizon kwenye sekta ya kilimo tu wakanyoosha mikono. Over 80% ya wafanyakazi kwenye hospitality industry ni Wakenya na husikii kelele kuwa wanashukua kazi zetu.
Kwani nimeomba kazi ya udereva ? πππ leo utanyooka mkuu huchomoki.Ebu tupia picha ya leseni π¬
Unaingia kwenye mfumo, kuna ushahidi inakimbia zaidi ya 120kph. Kila trip ni Tofauti na kile kilicho andikwa kinaweza zidi au kupunguaSawa nimekubali express inaenda masaa matano. πππ je average speed ni 100km/hr?
Unataka kunitoroka? ππ π leo hutoroki.Unanifunza hesabu wakati ulikuwa hujui 3:20 ni sawa na 3.333hrs ππππππππ
umepanik π¬Unataka kunitoroka? ππ π leo hutoroki.
Mzee unahangaika sana. Issue will not be the same again. Endeleeni Kuandamanaumepanik π¬
Kwahio leseni ni za kuomba uderevaπ¬Kwani nimeomba kazi ya udereva ? πππ leo utanyooka mkuu huchomoki.
Leo huchomoki.. mimisijazungumzia habari za speed kuzidi wala kufika makisio, nimekuuliza everage speed ya treni yenu nginja nginja ni ngapi? πππ 90km/hr or80km/hr?Unaingia kwenye mfumo, kuna ushahidi inakimbia zaidi ya 120kph. Kila trip ni Tofauti na kile kilocho andikwa kinaweza zidi au kupungua
Bado umekomaa na 180kph ππMzee unahangaika sana. Issue will not be the same again. Endeleeni Kuandamana
#RUTOMUSTGO
Hakuna nchi wala Taasisi itawapa loans tena.
Unaniomba leseni ya udereva wewe ni nani? Unataka kuniajiri? ππKwahio leseni ni za kuomba uderevaπ¬
Umeingia kwenye mfumo, vipi ulisema uonyeshwe ikienda zaidi ya 80kph ama umepandisha π¬Leo huchomoki.. mimisijazungumzia habari za speed kuzidi wala kufika makisio, nimekuuliza everage speed ya treni yenu nginja nginja ni ngapi? πππ 90km/hr or80km/hr?
Kiswahili kumbe ni kigumu sana siku hizi? π§ππUmeingia kwenye mfumo, vipi ulisema uonyeshwe ikienda zaidi ya 80kph ama umepandisha π¬
Nakuomba na nina yangu, tuonyeshe yako πππUnaniomba leseni ya udereva wewe ni nani? Unataka kuniajiri? ππ
Wewe ni wa kunifunza lugha yangu, vipi bado ni 80kph ama umepandisha π¬Kiswahili kumbe ni kigumu sana siku hizi? π§ππ
Express take 6hrs. Ni kinyonga au? Normal train it will take 8 hoursBado umekomaa na 180kph ππ
Sina leseni ya udereva kakaNakuomba na nina yangu, tuonyeshe yako πππ
Asante kwa kuleta intercounty trains lakini haibadilishi Mchongoko unakimbia 137kph
Usijitie utaahira mzee πππ tuambie average speed ya train yenu tafadhali. Haraka sana.Wewe ni wa kunifunza lugha yangu, vipi bado ni 80kph ama umepandisha π¬
Wewe huna content sasa.Usijitie utaahira mzee πππ tuambie average speed ya train yenu tafadhali. Haraka sana.