Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

None of your trains goes beyond 180km/h. Prove with a picture of Speedometer kama wewe ni mwanaume.
EMU itaanza kazi tutawaonyesha.
Nimekuuliza unajua zile alama nyekundu kuanzia 160 mpaka 200 zina maana gani!?
 
EMU itaanza kazi tutawaonyesha.
Nimekuuliza unajua zile alama nyekundu kuanzia 160 mpaka 200 zina maana gani!?
So hiyo speed ya 200km+/h unayoongele umetoa kwa mabega yako ama?
 
EMU itaanza kazi tutawaonyesha.
Nimekuuliza unajua zile alama nyekundu kuanzia 160 mpaka 200 zina maana gani!?
Facts are stubborn

Kenyan trains max speed of 200km/h



Tanzania trains max speed of 180km/h
 
Hizi ni takataka gani unatuonyesha? Who recognizes these things.
Wenye akili, CAF, FIFA, MATAIFA YOTE YANAYOFANYA INTERNATIONAL CALL UP.

Ikiwa akili zako za kulinganisha Odometer as real speed, unataka uwe wapi? Ushawapokea Gor Mahia kwanza?
 
Sie tuna prove kwa video we subiri.
Hata hizi za sasa hivi mlisema mwisho 160kmph ila zimefika 180.
Sasa subirini turekodi speed itapotembea.
I have always maintained my stand that Tanzanian trains will never reach 200km/h maximum speed. Hizo zingine wewe ndio umejua penye ulitoa.
 
Origi for Real?

amewahi chezea Kenya?

Lini Mtapona huo ugonjwa asee

Huyo Wanyama EPL, Mbona Samatta Kakipiga?

Alafu naona kama nabishana na mwehu, kuweka past vs present.
 
It’s still faster than Tanzanian trains.
Umewahi kuona wapi treni ya diesel ikiishinda treni ya umeme!?
Kasome transmission of kinetic energy kati ya diesel na electric ipi ina higher efficiency!?
Halafu uone utofauti wa ufanisi wa treni yenu na yetu.
Kwanza NINYI mmebugi sehemu mbili;
-Reli yenu ni joint welded hii hairuhusu ufanisi wa chombo kutembea kwa kasi,mkilazimisha mtatikisa tuk tuk hiyo mpaka muue watu kwa presha.
-Chombo chenu ufanisi wa kasi ni mdogo utake usitake.
 
Muda ni mwalimu mzuri usijali.
 
Huoni Tunaikaanga humu? Kwa hiyo kukosoa ni kukosea viongozi heshima na kuitukana matusi ya nguoni kama huko kwenu?
 
Origi for Real?
So Unataka kupinga kwamba Origi sio Mkenya?😂😂😂

Babake Origi anaitwa Mike Okoth Origi
Mamake anaitwa Linda Adhiambo
Huyo Wanyama EPL, Mbona Samatta Kakipiga?
Tottenham is bigger than whatever Samatta played in EPL. Who even remembers Samatta in EPL. For Wanyama, he is among the best Holding Midfielders EPL has ever seen. Only comparable to Essien, Obi Mikel, Kante, Carrick, Matic, Kante, Makele and Viera.
 
Kenyan trains are faster than Tanzanian trains. Mbona unapingana na ukweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…