ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,456
- 89,880
Hii michuano siipendi mana inakwenda kutuibia wachezaji wetu muhimu, mm nataka tukawaadhibu Gor jua kali Mahia kwanza.
Hata hizo kelele zishaisha mana tuliwaambia bajeti yao ni ya uongo, wame prove this year.Kelele zilizobaki ni jidipi 🤣 🤣 🤣 🤣
Hii 5imba tunakwenda kuidondosha na huku kama kule instagram, tunataka unapotaja Yanga ujue anga zetu ni ahly.
Naomba logo ya Gor jua kali Mahia tafadhali 🤣🤣🤣🤣👇👇👇
You even know the lingo Jua Kali … you guys know every little detail about Kenya including our slang.. we definitely reside rent free in your brains…it shows here every time 🤣🤣Naomba logo ya Gor jua kali Mahia tafadhali 🤣🤣🤣🤣👇👇👇View attachment 3045002
Ni ujinga kuweka hii takataka Makamba, a school serial failure na very corrupt.
unajua RAO hakumaliza chuo Ujerumani! Hana degree!Ni ujinga kuweka hii takataka Makamba, a school serial failure na very corrupt.
Simba ni lidude likuubwaaa sana kijana.Hii 5imba tunakwenda kuidondosha na huku kama kule instagram, tunataka unapotaja Yanga ujue anga zetu ni ahly.