joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,625
Sikiliza watu wanaojitambua na waliosoma namkuelimika, Kenya ninyi nimwatumwa wa wazunguWe have a different dialect and it would be folly to make fun of it. Would you make fun of Congolese or Rwandese Swahili?
Siku akikuonesha wapi official link imesema nai ina 40 b gdp nitag😀😀😀😀😀 wanafkiri 40b nikama kula vitumbuaHata iwe na GDP ya $100B, inamaana gani kama zaidi ya nusu ya population inalala kwenye slums bila vyoo wala chakula?, ulishaona wapi mtu mwenye pesa akaugua kipindupindu?, au akafaa kwa njaa?,,stupid
At a chakula tunakula ati ni yao......at a news paper washaiba
Yani nyie walalas mnajisifu na inchi yah enyewe...............sana....na.hamna ki2..._ni.....ombaomba 2..na usenge na issue za Kenya..at a tumewapia.Malawi kujeni nao
El Matador huyu mkenya takataka mmemtoa wapi?.smhGoja.....ndaleta .picha yah Seychelles... Zanzibar itabigwA 60 -0,,, msa vs dar 5-1 Kenya vs Tanzania 10-0
Avipate wapi wakati hata chakula hana uhakika wa kukipata huyo, wazee wa njaa haoNiletee oficial link inayosema nai gbp is 40 alaf niletee link inayosema dar is 9, na usipoleta basi wewe unagovi😀😀😀😀
Huyu anashangaa kugundua kwamba Tanzania imeipita Kenya kwa mambo mengi, anashindwa kukubaliana na hiyo hali, kwahiyo anajaribu kupambana na hiyo hasira aliyonayo, ila atatulia twende nae mdogo mdogoEl Matador huyu mkenya takataka mmemtoa wapi?.smh
anawashushia hadhi bro.hajui kuandika kiswahili pia hajui kuandika kingereza.
mimi huwa najua mkenya hata kama hajaenda shule lakini angalau anajua ku-argue kwa kingereza hata cha kudanganyia,lakini sio huyo kilaza hapo juu.
hajui kutetea hoja zake,anakurupuka tu kama nguruwe pori.
mkimuacha aendelee hapa katika hii thread,atasababisha tuwadharau sana.
anawaharibia image yenu.mtumieni PM za kumpiga marufuku kushiriki katika hii thread.
wakenya mpo makini sana katika kuchagua picha za kutuonyesha.
hizi picha hamjawahi kutuonyesha hata siku moja.
bila ya effort ya NDINDA kamwe tusiongeona uchafu uliojirani na hayo majengo "yenyu"...takataka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwanza hio😀😀😀Dongo Kundu Bypass | Mombasa | 25km | U/C - Page 14 - SkyscraperCity
leteni barabara ya mijini Watanzania.naona mumekazana na hayo maghorofa yenyu ya shilingi mbili
Mwanza Kigongo-Busisi Mega Bridge Project ( To be Longest Bridge in EA) - SkyscraperCityDongo Kundu Bypass | Mombasa | 25km | U/C - Page 14 - SkyscraperCity
leteni barabara ya mijini Watanzania.naona mumekazana na hayo maghorofa yenyu ya shilingi mbili
hahaha .....walinganisha daraja ya meter 67 na highway 6 lanes ya 25kms
long term proposals .....sawa na likoni bridge na second nyali bridge ambazo sijazileta hapa.weka miundo mbinu ya maana ambayo ujenzi unaendelea kaka
ArushaDongo Kundu Bypass | Mombasa | 25km | U/C - Page 14 - SkyscraperCity
leteni barabara ya mijini Watanzania.naona mumekazana na hayo maghorofa yenyu ya shilingi mbili
2lanes pekee .....wacha aibu ndogo ndogoMwanza|Usagara-Kisesa Bypass|17km|U/C - SkyscraperCity
Ujenzi uko katika hatua za mwisho kabisa😀😀
View attachment 646048
Who told you wakat ujenzi wa surender bridge dar unaanza unaanza january 7.1kmlong term proposals .....sawa na likoni bridge na second nyali bridge ambazo sijazileta hapa.weka miundo mbinu ya maana ambayo ujenzi unaendelea kaka
Hio bypass haipiti kabisa mjini, outside the city2lanes pekee .....wacha aibu ndogo ndogo