πππππ majirani wako Hoi taaban
View: https://x.com/communisttz/status/1812093879161635081?t=GTrOK_jHrN04cZOXYccr1g&s=19
BBC Swahili imekua nyang'au, wanataka tuige reaction ya cornered cat wakati hatujawa cornered. Wanashindwa kuelewa kwamba vitu kama njaa, sgr ya moshi mweusi, shida ya umeme, ardhi, n.k ndio chanzo ambapo TZ hakuna hizo shida
View: https://www.youtube.com/watch?v=qlN7VTNRppg
Uwakute sasa wakilecture dola nyingine za kiafrika, unaweza dhani Kunyaland ni Denmark, kumbe serikali yao ni ya kifedhuli na kiimla zaidi ya any failed state, huyu nduli Ruto Pamoja na kuendesha nchi kama saccos lakini wakundustan wana haki zote za kumshusha sababu mazingira wanayoishi hata shetani hawezi, umeona hizo slums na wala sio kibera hapoMaiti zimekua takataka kwa huko Kenya.
Bimaana is not necessary to bury we weka katika Kiroba tupa dampo.
Hiyo video speaks 100 different languages of poverty in Kunyaland at a go wewe kama unataka angle moja utakua unatumia ubongo wako vibaya au akili yako sio multifunctionalUlikuwa unaongelea the mazingira, sahii umegeuza umeingilia vifo. Practice focusing on one topic a time.
Wabunge wao wanaishi kama wapo peponi, wakundustan mps wanalipwa mishahara mikubwa kuliko Japan, UK, US, wanamiliki helicopters na ni wengi kichizi kumbe pesa zote hizo ni za IMF loansBBC Swahili imekua nyang'au, wanataka tuige reaction ya cornered cat wakati hatujawa cornered. Wanashindwa kuelewa kwamba vitu kama njaa, sgr ya moshi mweusi, shida ya umeme, ardhi, n.k ndio chanzo ambapo TZ hakuna hizo shida
View: https://www.youtube.com/watch?v=qlN7VTNRppg
Halafu wanataka kufananisha huu mfumo wao wa utawala na mfumo wa huku kwetuπWabunge wao wanaishi kama wapo peponi, wakundustan mps wanalipwa mishahara mikubwa kuliko Japan, UK, US, wanamiliki helicopters na ni wengi kichizi kumbe pesa zote hizo ni za IMF loans
Government expenditures zote ni commercial loans waliokua wanachukua miaka yote hiyo! Sio hata concessional loans
View: https://youtu.be/SZyohHRTwl8?si=Jha3jFrw4eSmWj2S
Hapo wa kabila la huyo looter watakuwa proud na utajiri wake na watamtetea kwa namna yoyote kana kwamba anavyoibia serikali ni kama analeta kombe la ushindi kwenye jamii yake yaani siasa zao ni za kishenzi kweli, ukiwakuta wanazozana huko kwenyewe comments utawashangaaHalafu wanataka kufananisha huu mfumo wao wa utawala na mfumo wa huku kwetuπ
Nilisema Sana hapa hakuna tajiri kenya ambae sio mwanasiasa, tycoons wote Kenya ni wanasiasa na huwez kua tajiri Kenya kama hauko kwenye siasa au ukoo wa siasa, na ndoto Yao wengi ni kua wanasiasa ili waeze kua matajiriππππWabunge wao wanaishi kama wapo peponi, wakundustan mps wanalipwa mishahara mikubwa kuliko Japan, UK, US, wanamiliki helicopters na ni wengi kichizi kumbe pesa zote hizo ni za IMF loans
Government expenditures zote ni commercial loans waliokua wanachukua miaka yote hiyo! Sio hata concessional loans
View: https://youtu.be/SZyohHRTwl8?si=Jha3jFrw4eSmWj2S
Huaga najiuliza tunajenga kibahati au akili kubwa tu yaani huo uwanja tayari una access ya kila kitu kuupata BRT, Stand ya Bus, na lipo eneo linalokua.Huu hapa uwanja wa KMC , Mwenge Dar es SalaamView attachment 3041978View attachment 3041979View attachment 3041980
Na ushahidi huu hapa kijana mdogo kabisa Gen Z mwenzao ila huyu ana akili kwa mwezi anaingiza $16k na ametokea humble beginning, Kunyaland huwezi kuta mtu tu bila ujambazi wa serikalini akaibuka tu na kufanikiwa, halafu wanaforce watanzania wawaige utafikiri tunafanana πππNilisema Sana hapa hakuna tajiri kenya ambae sio mwanasiasa, tycoons wote Kenya ni wanasiasa na huwez kua tajiri Kenya kama hauko kwenye siasa au ukoo wa siasa, na ndoto Yao wengi ni kua wanasiasa ili waeze kua matajiriππππ
Waone wanavoniangalia kwa jicho baya
Wasameheni hali si nzuri, mawaziri waliofutwa kazi juzi, mafao yao inabidi wakaombe mkopo, nimedokezwa, sembuse Talanta Stadium ππNa talanta yenyewe wanamtegemea mchina ajenge kwa pesa zake ππππ