Content yake nzuri anatuonesha reli lakini SASA anaharibu kwa vitu vidogo Sana na hapo Sisi ndio tunafeli Sana ππππwacha gubu mzee! sikiliza content unachoona za kubandika wenzio tunapenda!
Haturuhusiwi kukosoa tunaruhusiwa kusifia Tu kaka, je mwanasheria unae??ππππNawataka wale waliokuwa wanakuja na statment uchwara wakisifia ukusanyaji wa mapato kuwa umepanda sana tokea mama kaingia
View attachment 3034745
Wacha woga!Haturuhusiwi kukosoa tunaruhusiwa kusifia Tu kaka, je mwanasheria unae??ππππ
Kwa I haujapanda? Kwani Hilo ni swala la kuuliza? Mama anataka Mapato yapande zaidi ya hapo ili Serikali ipunguze kukopa.ππNawataka wale waliokuwa wanakuja na statment uchwara wakisifia ukusanyaji wa mapato kuwa umepanda sana tokea mama kaingia
View attachment 3034745
Ndio tulivoambiwa hvo kaka πππ sikujua kumbe anakopa pesa ovyo kwasababu anashindwa kukusanya Kodi hahaha alooooWacha woga!
Sasa mbona ni nyinyi mnalia Kila wakati ππIkizorota watakaokufa njaa ni nyie nyang'au,sisi tunavusha chakula tyu
Tunatoa taarifa hatuliiSasa mbona ni nyinyi mnalia Kila wakati ππ
Ila kuna Tahira humu anadai kuwa chuma inatembea 200kph wakati aliyekuweko kwenye cabinet meeting iliyopitisha mradi wa SGR anasema treni ina uwezo wa 164kph ila reli ndio shida sasa.