Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tagged the wrong pic above, but still my statement stands
 
I am still waiting for one of you to list for me at least 5 supermarket chains in Tz
 
Tagged the wrong pic above, but still my statement stands
Chunga hatua zako,usichanganyikiwe.

Hata hiyo ikiletwa normal bila kupaushwa.utapata kifafa.ndinda amefanya kukupunguzia mshituko ameichafua makusudi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] povu in flood.

Hapo umeona psppf au MNF katika ile picha???[emoji13] [emoji13] [emoji13] au unadhani BRT iko posta pekee,haki ya nani mtaipata sawasawa.

Eti edited,tumeedit nini???
Hio picha nimekuwekea hapo juu ya Dar unaona nini? Umoja Wa vijana au PSPF?

Kama haujui maana ya esited/filtered/Photoshoped pics, basi sina LA kukuambia

Ama picha za JF have different displays in Tz compared to Kenya?
 
Basi ume quote wrong post.maana ulikuwa ukibishana na mimi kuhusu picha mbili.

Kariakoo barabara na watembea kwa miguu.
Nakuru parking na watembea kwa miguu.
 
Chunga hatua zako,usichanganyikiwe.

Hata hiyo ikiletwa normal bila kupaushwa.utapata kifafa.ndinda amefanya kukupunguzia mshituko ameichafua makusudi.
Wadhani in Ndinda kachukua hio picha aka edit, you funny

Ndio hii unedited
 
I am still waiting for one of you to list for me at least 5 supermarket chains in Tz
I'll give you examples of Kenyan owned.
Tuskys
Naivas
Chandarana foodplus
Magunas
Uchumi
Tumaini
Gilani's
Nakumatt
All of them have a minimum of branches all over the country
 
nairobi vs kariakoo:

kariakoo is the only largest and busiest market place in EA with a lot of shops and stores.

common products that that are available at a competitive price,include home appliances,mobile phones, computers,building materials,auto parts/accessories,pair of shoes,clothes,pieces of jewelry etc.

below is a sample of what you can buy in kariakoo.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Basi ume quote wrong post.maana ulikuwa ukibishana na mimi kuhusu picha mbili.

Kariakoo barabara na watembea kwa miguu.
Nakuru parking na watembea kwa miguu.
Na nikakubalia hilo kosa bila tashwishi hapa
Tagged the wrong pic above, but still my statement stands
Lakini tofauti kati ya picha hizi mbili hakuna, zote ni edited versions of towers being built before roads are built ndio maana nikasema "my statement still stands"

E.g
filtered

unfiltered but farther down the street
 
Hawaamini wanachokiona leo😀😀😀
Maana kila picha wakitazama wanahisi kama newyork
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Na nikakubalia hilo kosa bila tashwishi hapa

Lakini tofauti kati ya picha hizi mbili hakuna, zote ni edited versions of towers being built before roads are built ndio maana nikasema "my statement still stands"
Hahahahahaha
 
Nazo ni kivutio za utalii ama!!!
Zinakuza uchumi... Hii ndio maana unashangaa ni nini wakenya wanafanya ndipo wawe mbele hivi... Ni mambo kama hayo, kukuza biashara za kibinafsi na za serikali hivi kwamba imepanuka mpaka wengine wamefugua branches hadi karibu na unapoishi...
 
Nairobi vs kariakoo on trend.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…