Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa ni lipumbavu sana 🀣🀣🀣 hiyo Mombasa haiwezi toboa kwa Zanzibar hata kwa uchawi.
Na haina 5star hotel so far πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… haiko modern iko vile vile miaka kwenda miaka kurudi nyumba za tope kila sehemu, harufu ya umaskini kila Kona, ukienda pale mwembe tayar utasema umeingia kwenye kambi ya wakimbizi
 
Jamaa ni lipumbavu sana 🀣🀣🀣 hiyo Mombasa haiwezi toboa kwa Zanzibar hata kwa uchawi.
Jinyonge ukitaka, haubadilishi lolote mjukuu, inakuumaa!!🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣Mombasa is KingπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
🀣🀣🀣 huu ni upumbavu gani.? Unajua kitu kinaitwa shaghala baghala.? The summary of what you have posted ni hii πŸ‘‡mjiji yetu haiwezi kuwa ya kipumbavu kama hivyo..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kubali yaishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…