NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,314
- 19,674
Kino Yves ameshangaa kuenda 297 km bila stima.πNo paved roads, no electricity, no internet. Abiria wanakojoa kwa vichaka. Poverty on steroids.
Serikali sikivu mkuu πHii nchi yenu ni ya waoga sana bradhee.πππ
Demo za ukabila na jobless who wants thatHii nchi yenu ni ya waoga sana bradhee.πππ
Ulimuona alivyo enjoy Kuku Choma Porini?Kino Yves ameshangaa kuenda 297 km bila stima.π
Wao wanamtukana Rais wao sisi tunasonga tu na hatumsubiri mtu acha waendelee kulala.Rais Wa Kwanza Kutoka West Africa Kupanda Electric Train. Mambo na bam bam. Nyie endeleeni kuandamana kuomba bei ya unga ishuke.
View: https://youtu.be/CGd1Wy4agjo?si=4LTMtLIJyJ3fis8I
kasahau flying toilets!Mkenya leo anamuambia mtanzania eti "abiria wanakojoa kwa vichaka" dunia simama nishuke π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Unalinganisha mitumba na real luxury wagons?Tuondolee huo uchafu wako
#Rutomustgo.Hii nchi yenu ni ya waoga sana bradhee.πππ
Keshasahau kwamba hawana stand za mabasi.kasahau flying toilets!
Watu wanapangua vyuma TuπΉπΏπΉπΏπΉπΏ
View attachment 3023592