Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ipambane na Dar kwanza, ikiishinda Dar ndio basi.., la sivyo ndoto zako ni valid.., endelea kuota.., unaona hizi fikra za kujidanganya ndio unataka nipingane nazo kilaza hehehehe, jipe shughli tu...,
Kama una kende tupia hizo best residential estates za Mombasa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sikuhiz umekua mnyoonge unarusha maneno hewani tu.
 
Ipambane na Dar kwanza, ikiishinda Dar ndio basi.., la sivyo ndoto zako ni valid.., endelea kuota.., unaona hizi fikra za kujidanganya ndio unataka nipingane nazo kilaza hehehehe, jipe shughli tu...,
Hakuna anayekataa. Basi leta jengo kama hili kutoka Mombassa. Hii ni Dar πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡TPA Tower

 
Twende battle mimi na wewe Dar slum Vs Mombasa
 
Yaani ulivyo mjinga wewe..., hiyo ni makazi, pia mimi nimeona...., asante kwa bonge la residential, mbwa wewe hehehehe
Kwahiyo umekubali katika hilo Mombasa hainachake? 🀣 🀣 🀣 🀣 Hapa ulikuwa unatupotezea muda tu?
Siku nyingine uwe unachagua vita. Usiwe unakurupuka tu.
Ukionesha jengo linalokaribiana na hili hapo Mombassa niite Mbwa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…