Tatizo lako unapayuka payuka.Bagamoyo road yani tena main road pekee ndio unatuonyesha, nimeuliza barabara za mitaani kama nilivyoonyesha za Kilimani. Naweza nikakuonyeshe more than 50km from Nairobi kwa main road na utaona kama hii video yako ni upuzi. Hii hapa 40km from CBD utasemaje.
View attachment 3020681View attachment 3020682View attachment 3020685
Mbezi hii hapa. Unasema kilimani hakuna barabara. Mbezi 95% barabara ni vumbi. Kilimani hamna barabara hata moja ya vumbi. Kama ipo post tuone.Tatizo lako unapayuka payuka.
Bagamoyo road na sinza wap na wap? Hiyo shekilango road, mori road, igesa road zote Barabara za mtaa za sinza
Au umeanza kuchanganyikiwa?
Nikiamua kuleta evidence za Mji wenu wa Nairobi bila filter hapa mtakimbia jamii forums
Ninawasitiri tu
Hivi unajua barabara za mtaa? Barabara imepita kwa shopping center unaita barabara ya mtaa? Basi hii Ngong road pia nitaita barabara ya mtaa wa Kilimani na naona imeshinda hiyo yako mara mia. 🤣 🤣Tatizo lako unapayuka payuka.
Bagamoyo road na sinza wap na wap? Hiyo shekilango road, mori road, igesa road zote Barabara za mtaa za sinza
Au umeanza kuchanganyikiwa?
Nikiamua kuleta evidence za Mji wenu wa Nairobi bila filter hapa mtakimbia jamii forums
Ninawasitiri tu
Hii hata Bungoma imeishinda. Yani heri umewapa 95%, mimi ningewapa 100% vumbi maanake sijaona barabara ya lami hata moja hapo. 🤣🤣Mbezi hii hapa. Unasema kilimani hakuna barabara. Mbezi 95% barabara ni vumbi. Kilimani hamna barabara hata moja ya vumbi. Kama ipo post tuone.
Kunayo moja hapo katikati. Nadhani ndio main road ile ya kuenda Bagamoyo. Zengine zote vumbi. Alafu wanapata nguvu ya kusema Kilimani hakuna drain. 🤣 🤣Hii hata Bungoma imeishinda. Yani heri umewapa 95%, mimi ningewapa 100% vumbi maanake sijaona barabara ya lami hata moja hapo. 🤣🤣
Wewe Mkikuyu vipi unataka nianze kuonesha uzuri wa Dar kwenye Barabara au nioneshe ubaya wa Nairobi? Chagua mojaKunayo moja hapo katikati. Nadhani ndio main road ile ya kuenda Bagamoyo. Zengine zote vumbi. Alafu wanapata nguvu ya kusema Kilimani hakuna drain. 🤣 🤣
Sikiliza kwanza hapa wakati nakupa muda wa kijiandaaKunayo moja hapo katikati. Nadhani ndio main road ile ya kuenda Bagamoyo. Zengine zote vumbi. Alafu wanapata nguvu ya kusema Kilimani hakuna drain. 🤣 🤣
Hawa majamaa huwa hivo. Wanakuja Nairobi wanapiga picha lami ya vichochoro alafu wanalinganisha na Highways zao ama artery roads zao wanasema eti Nairobi hakuna barabara. Ukienda mitaa yao hata ile ya kifahari hamna barabara kabisa. Msikize huyu mmarekani akiongelea Dar vs Nairobi uachane na hao akina Bertin wenye huongea na emotions na wivu. 🤣 🤣Hivi unajua barabara za mtaa? Barabara imepita kwa shopping center unaita barabara ya mtaa? Basi hii Ngong road pia nitaita barabara ya mtaa wa Kilimani. 🤣 🤣
The whole world know how kenyans brag. Dunia ilishawazoea. Even if you bring pictures and long descriptions no one will believe you anymore. Unajichosha tu 🤣 🤣 🤣 🤣Hawa majamaa huwa hivo. Wanakuja Nairobi wanapiga picha lami ya vichochoro alafu wanalinganisha na Highways zao ama artery roads zao wanasema eti Nairobi hakuna barabara. Ukienda mitaa yao hata ile ya kifahari hamna barabara kabisa. Msikize huyu mmarekani akiongelea Dar vs Nairobi uachane na hao akina Bertin wenye huongea na emotions na wivu. 🤣 🤣
View: https://www.youtube.com/watch?v=cArwaoCYgm0&t=845s
Pameshabomolewa kote hapoTuletee picha ya hilo eneo current tuone kama kuna utofauti. 🤣🤣
nishachoka macho tayari banaMbezi yenyewe hii. High Class neighborhood in Bongoland. Ukiwaskia wakisema uchafu juu ya vikaratari kando ya barabara utadhani kwao ni Kigali. 🤣 🤣
View attachment 3020694View attachment 3020695
View attachment 3020696
View: https://www.youtube.com/watch?v=z89QsV5s334
lol...5th world tanganyikaMbezi hii hapa. Unasema kilimani hakuna barabara. Mbezi 95% barabara ni vumbi. Kilimani hamna barabara hata moja ya vumbi. Kama ipo post tuone.
ndinda hawezi piga hii filters 😂 😂 😂 😂 😂 😂Mbezi hii hapa. Unasema kilimani hakuna barabara. Mbezi 95% barabara ni vumbi. Kilimani hamna barabara hata moja ya vumbi. Kama ipo post tuone.
Fortunatus Buyobe ndio umemuona mtu wa maana kwako. 🤣 🤣 🤣 🤣 Dunia yote inajua wakenya ni PrimitiveTwitter Tanzania imefurahishwa na hali ya kupigania haki Kenya, hawa hapa ndani huwa sikuzote wako opposite 😃
View: https://twitter.com/fbuyobe/status/1803274438307107194?t=6c1ncNZg38amIxTFxurJMQ&s=19
Watanzania walishatoka kwenye trivial news 🤣 🤣 🤣 🤣 Wakenya bado mnahangaika na minor issues. You need to provide Tanzanians with Analytical News, they will listen to you. But hizi cheap wapelekee wakenya.Social media imejaa comments za watanzania waliopendezwa na nguvu ya wananchi wa Kenya..
View: https://twitter.com/IAMartin_/status/1803101096929337813?t=6EfbViIdBa37kmiU8kttTg&s=19