Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wake up from sleep, you will pee yourself. You live in a fantasy world. 🤣🤣🤣🤣
 
Ingekua ni Tanzania wangefyata na kuweka mikia kati kati ya miguu hii kende hawana, vinanyanyaswa, vyuma vimekaza, ufujaji wa fedha za umma lakini zezeta ziko vijiweni zimezubaa tu., watu waoga hovyo in EAC.., Big up to Kenyans!
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.

Inaitwa courage!💪💪
Your browser is not able to display this video.
 
F 16 muzifanyie nini nyie mbuzi? Unajua F 16 kweli wewe ama unahara mdomoni tuu?
 
🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪., hii courage hamna, Kenyan youths are rocking it, Ruto ame tii na kuondoa clauses that were punitive.., I love Kenya!!!!!.., nyie bakini kwa nchi ya waoga, mmekandamizwa sauti hamna, mnapiga domo domo kwa mitandao mna complain sana kwa uzi zenu lakini no action, jioni mnarudi uswazini maisha yaendeleeyl yalivyo.., hehehe🤣🤣🤣🤣🤣

Ruto ako na bahati sana University most faculty wamefunga for long holiday hadi September.., serikali ingejua haujui..,
 
Endelea kujifariji🙂
Nyongwaaaa, Kenya sio Tanzania taifa la watu hafifu, uchumi hafifu, wanasiasa mandazi.., raiya waoga., mtakandamizwa hadi vitukuu vyenu.., rahaa💪💪😂😂😂😂😂🙏Kenya ni🔥🔥🔥🔥🔥
 
Kenya bado ni primitive society. Yaani serikali yenu haijali maslahi ya wananchi. Ni upuuzi mpaka muandamane 🤣 🤣 🤣 🤣
 
🤣🤣🤣🤣Kenyan SGR iliishia wapi? All land owned by Kenyatta Family. Hamuoni kuwa nyie hamjielewi. Andamaneni land yenu irudishwe.
 
🤣🤣🤣🤣Kenyan SGR iliishia wapi? All land owned by Kenyatta Family. Hamuoni kuwa nyie hamjielewi. Andamaneni land yenu irudishwe.
Wacha kukwepa kilaza.., 🤣🤣🤣Kenya ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Wacha kukwepa kilaza.., 🤣🤣🤣Kenya ni🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kuandamana maana yake you have a weak Government. 🤣 🤣 🤣 🤣 And if you have a weak government, that means you have stupid voters, they have voted for a weak government
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…