Heathrow kupata slot ni shida congestion ni kubwa sana ila nasikia Air Tanzania anayo slot pale sasa sujui kana hujaitumia will it still be valid ama?No way. Gatwick iko kushoto. Ndio maana flight from same airline ya kushukia Gatwick is cheaper than kushukia Heathrow.
Congestion ya nini wakati Kuna Heathrow Express to London Paddington achilia mbali tube. There is no way anayeshukia Gatwick akamuwahi anaeshukia Heathrow ndio maana tiketi za Gatwick ni cheaper wanajua hussle yake.
Kipindi wameungana na SAA kuunda Alliance air waliwapa hao jamaa slot zao. Sijui status yake ikoje sasa hivi.Heathrow kupata slot ni shida congestion ni kubwa sana ila nasikia Air Tanzania anayo slot pale sasa sujui kana hujaitumia will it still be valid ama?
Mmm Zanzibar ni yamoto balaa
Ebana Niko kwenye mji wako kunani tanga aloo tanga inajengeka mzee nimezunguka maeneo ya raskazoni Huko utasema Niko masaki majumba ya maana yametapika 🙌🙌Mmm Zanzibar ni yamoto balaa
Raskazone, Nguvumali, Sahare, Bombo area, Donge, Mzingani along Tanga beach road and some parts of Usagara CAC, hii ndio mitaa yetu ya kishua Tanga imepangwa vyema na majumba yamejengwa sana huko. I recommend you utembelee Tanga beach resort bhana, kama utakua na muda wa kutosha.Ebana Niko kwenye mji wako kunani tanga aloo tanga inajengeka mzee nimezunguka maeneo ya raskazoni Huko utasema Niko masaki majumba ya maana yametapika 🙌🙌
Hata hii njia ya kwenda pangani kuna maeneo yamejengeka mzee aloo watu wanajenga nchi hiii, nyumba za maana zimetapika, kitu nimependa tanga Barabara zote za mjini ni lami alaf ziko well planned, alaf mji msafi kila Kona, nimeenda maeneo ya forodhani Leo sikukuu kumetapika 🙌🙌🙌🙌
Huyo mwenye tumbo kubwa ni nani?Kenyan flag always flying among the big league. Here is in Russia
View attachment 3019715View attachment 3019716View attachment 3019717
Usijali. Bora ameibeba bendera na amewakilisha Kenya vizuri.Huyo mwenye tumbo kubwa ni nani?
What is the performance of that Kenyan shilling? Hiki ni kitu kipya kwenye uchumi.We told them
View attachment 3019720
Nimeuliza huyo mwenyetumbo kubwa ni nani? Just simple question umeanza kuzunguka. Elimu yenu ipo sawa kweli?Usijali. Bora ameibeba bendera na amewakilisha Kenya vizuri.
1Ksh = 21Tshs from 15 Tshs a few months agoWhat is the performance of that Kenyan shilling? Hiki ni kitu kipya kwenye uchumi.