NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,296
- 19,654
Yani huu mjadala wa purchasing power tumeeleza hizi mbumbumbu sijui mara ngapi bado hazielewi kitu. Nahurumia walimu wa shule za bongolala sana.😂😂Mbona unaforce discussion yenye haiko? Nobody is discussing about PPP here. The main discussion hapa ni Spending power of an individual i.e how much money do you have? How much can you spend without feeling a pinch? Are you able to purchase luxury items on a regular basis?
Leta showroom ya Toyota tuone.Kuna mtu nimeona anasema Arusha haina showrooms za magari!!!!!Huyu mtu akili zake hazitumiki sawa sawa.
Nenda katibiwe kwanza mikono na vidole. Wewe ni mlemavu 🤣 🤣 🤣 🤣Kwani ulikuwa unakula kitu hata hujui ni nini? Kweli umaskini ni garama😂😂😂.
Or I might be crucifying you Bure na hata hiyo food sio wewe ulikula?😂😂😂
Ukisha jua maana ya Shawarma njoo tujadili kijana kwasasa we komaa na smocha 🤣🤣🤣Nitumie because of smocha ya 80 bob and coke ya 30bob?😂😂😂😂
Last year ulikuwa unaringia watu kula rice, leo unaringia kula smocha😂😂😂.
Tafuta pesa ukule vitu vya maana kijana.
Hakuna kitu unafahamu acha maneno mengi, nenda kwenye hoja niuliz nikusaidie wapi.. nimegundua nyie ni weupe tu.Linganisha price of goods and services in countries with bigger purchasing power na taifa fukara kama Tanzania kisha uje.., then discuss the impact of the forces of supply and demand on prices for commodities and services.., and what factors pushes up demand?.., wacha ujinga kijana, tafuta elimu..,
Ata hiyo primary na shuku, wengi wamejifunza mambo mengi humu, if you started with this thread earlier they were clueless, ata the word render it is us who introduced it to the idiots.., hawakujua.., bana have been with this guys for long, nilichoka nao..,Wengi wao ni primary school dropouts😂😂
Purchasing power na cost of living ni vitu viwili tofauti. Nenda kajifunze hilo alafu urudi nikupe funzo la pili.Hamjui lolote...
weupe vichwani, mnashindwa kutetea hoja kwa hoja...
Ipo wazi Tanzania gharama ya maisha ipo chini na wewe mwenyewe ulikiri hilo...
Shuleni mlienda kukariri na kusomea ujinga..
Wali nyama Dsm ukila kwa 1500 Tshs, halafu ukaenda Nairobi ukala kwa Tshs 3000 Kshs, hapo utasema Kenya ina purchasing power kubwa?
Kumbe nyie ni maboga..🤣
Nifunze Kiswahili tu, hapo nitakuruhusu mengine fyata, umijiaibisha., liboya on steroids..,Hakuna kitu unafahamu acha maneno mengi, nenda kwenye hoja niuliz nikusaidie wapi.. nimegundua nyie ni weupe tu.
Purchasing power na cost of living ni vitu viwili tofauti. Nenda kajifunze hilo alafu urudi nikupe funzo la pili.
Unatamba hivyo, kwa elimu ipi mzee.? 🤣🤣Nifunze Kiswahili tu, hapo nitakuruhusu mengine fyata, umijiaibisha., liboya on steroids..,
According to reasoning yao watakuambia wako na high purchasing power than Americans ama Europeans😂😂Yani huu mjadala wa purchasing power tumeeleza hizi mbumbumbu sijui mara ngapi bado hazielewi kitu. Nahurumia walimu wa shule za bongolala sana.😂😂
Mnashindwa hata kuelewa PPP in simple terms... 🤣Nifunze Kiswahili tu, hapo nitakuruhusu mengine fyata, umijiaibisha., liboya on steroids..,
Kunywa maji baridi kisha pumzika.., unapoteza mda wako bure, kiburi haitakusaidia..,Mnashindwa hata kuelewa PPP in simple terms... 🤣🤣
Wamezoea kununua fossils, Bongolala nzima Dar is a slum pekee ndio kuna showroom ya brand new passenger cars. The rest of the country imejaa umaskini, hawawezi afford new cars. 🤣 🤣 🤣 1 city country full of poverty.Leta showroom ya Toyota tuone.
Sifundishi mjinga, kama walimu wako wamekufundisha na hukuwaelewa mi ni nani unielewe...Nifunze Kiswahili tu, hapo nitakuruhusu mengine fyata, umijiaibisha., liboya on steroids..,
Hebu nieleze maana ya jambo hili bwana Don YF 🤣🤣🤣🤣Kunywa maji baridi kisha pumzika.., unapoteza mda wako bure, kiburi haitakusaidia..,
Nani hajui shawarma in this world? Is it new to you? Shawarma is a street food.Ukisha jua maana ya Shawarma njoo tujadili kijana kwasasa we komaa na smocha 🤣🤣🤣
Huyu hapa mwingine kaja. Tunataka atuambie hivi hawa jamaa wanavaa boxer au chupi kweli? 🤣 🤣 🤣Wamezoea kununua fossils, Bongolala nzima Dar is a slum pekee ndio kuna showroom ya brand new passenger cars. The rest of the country imejaa umaskini, hawawezi afford new cars. 🤣 🤣 🤣 1 city country full of poverty.