Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unamruhusu vp mtu anakupita points 5, sisi tupo na Morroco ambaye ndie timu bora Afrika na mwana nusu finali wa kwanza na pekee world cup from Africa lkn mpaka sasa tupo naye points sawa 6 kwa 6 maamaye, haya masenge yana points 5 pekee baada ya mechi 4 na bado yanashindana na Tanzania 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Morocco itadinya hio group lenu lote, tayari kashafunga bao 3 ndani ya dakika 26
🀣🀣🀣🀣🀣
 
Morocco itadinya hio group lenu lote, tayari kashafunga bao 3 ndani ya dakika 26
🀣🀣🀣🀣🀣
View attachment 3014922
Ndiyo kilichobaki icho kuiombea mabaya mwakilishi wenu EA, sisi tutaendelea kupambana huyo Morroco tutampiga mechi yetu alafu watajua wao ila kwa sasa kubali kwamba Tanzania inafuata baada ya Morroco, Tanzania imejitahidi sana kuleta heshima EA, just imagine tunapambana na timu bora Afrika 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Just imagine Tanzania ipo kundi moja na Morroco timu bora Afrika kwa sasa, ipo na Zambia mabingwa Africa 2012 lkn Tanzania ambayo ndie baba wa soka EA kwa sasa anashika nafasi ya pili na hajaachwa mbali na anayeongoza, pia usisahau Tanzania kwa mara ya pili mfululizo amecheza Afcon, bado kuna mtu atakuambia kenya inaizidi Tanzania kwa soccer, nchi yenye ligi bora Afrika namba 6, wao hawapo hata 50 bora 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Wakati waliwafunga bao mbili kwenu unatarajia kupata pointi kwao hahaπŸ˜…
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Harambee stars leo kidogo imvue chupi bingwa wa Afrika bahati yake nzuri akaponea.
Yani Kama tungekua AFCON basi tungeshinda kombe wakati taifa stars haijawai shinda hata game moja...
πŸ’€πŸ’€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…