Yani bongolalas hua munadhani magari yanaundwa kama peremende, kila kitu inakua manufactured na kushikanishwa at one factory. 🤣 🤣 🤣 Pole haikuangi hivyo. Vehicle parts are usually manufactured at different factories worldwide, the manufactured parts are distributed to the assembling factories where they are assembled into vehicles.Do you also make car lights, AC, radio speakers, radio, all the things on the car dashboard?
Unasumbua mahakama. Tuoneshe companies zinazotumia buses hizo hapo kenya. Just tunoneshe at least 10 companies.Bro......hivi unaelewa assembly na vehicle building tofauti yake?
Hili basi limekuwa assembled Kenya na AVA Motors
View attachment 3013199
Meanwhile, hili basi, mechanical parts zimekuwa tu assembled Kenya ila body imekuwa built by Master fabricators. Unaelewa tofauti hapo?
View attachment 3013200
Bana hawa majama hua wanadhani magari hutengenzwa kama peremende. Kila kitu inakua manufactured in the same country. 🤣 🤣 🤣Mzee what you are asking is impossible. You can't reinvent the wheel, Kama kuna kampuni inaweza tengeneza hizo components at cheaper price, there's no need to manufacture them. Outsource them with your own design
Unajipiga kidole matakoni na unanusa mwenyewe 🤣 🤣 🤣 🤣Bana hawa majama hua wanadhani magari hutengenzwa kama peremende. Kila kitu inakua manufactured in the same county. 🤣 🤣 🤣
Most if not all car manufacturing plants are assembly plants, simply because car parts from different factories around the world are put together there. VW BMW LR Toyota all have assembly plants.Bro......hivi unaelewa assembly na vehicle building tofauti yake?
Hili basi limekuwa assembled Kenya na AVA Motors
View attachment 3013199
Meanwhile, hili basi, mechanical parts zimekuwa tu assembled Kenya ila body imekuwa built by Master fabricators. Unaelewa tofauti hapo?
View attachment 3013200
Unadandia treni kwa mbele. Nimeuliza a leading question,wenzio wana akili wamejua kwanini nauliza wamejibu accordingly.Bana hawa majama hua wanadhani magari hutengenzwa kama peremende. Kila kitu inakua manufactured in the same country. 🤣 🤣 🤣
Kila nchi ilienda kwa mambo yake. Sisi tunajenga hospital kubwa kuliko Muhimbili na chuo kikuu kikubwa pia among many other good things. Hakuna lolote la maana nilijualo kuhusu zana za kijeshi toka Korea Kusini. Sisi kwa miaka mingi sana tuna ushirikiano mzuri sana wa maswala ya kijeshi na North Korea, wababe wao kijeshi.You are missing the point … it’s about who got the best deal out of the trip … Same way you posted here bragging about film deals yet Ruto got a digital academy to enhance production of those films…. You got the appetizer, we got the main course meal..🤣🤣🤣
Ebu nionyeshe mahali nimereply kwa post yako? Wewe unaota mchana.Unadandia treni kwa mbele. Nimeuliza a leading question,wenzio wana akili wamejua kwanini nauliza wamejibu accordingly.
Ha ha ha hapa nilipo ni usiku. 2027.Ebu nionyeshe mahali nimereply kwa post yako? Wewe unaota mchana.
Sasa mkenya mwenzako anasema proudly made in Kenya, ndio tunamuuliza mna assemble au manufacturing?Yani bongolalas hua munadhani magari yanaundwa kama peremende, kila kitu inakua manufactured na kushikanishwa at one factory. 🤣 🤣 🤣 Pole haikuangi hivyo. Vehicle parts are usually manufactured at different factories worldwide, the manufactured parts are distributed to the assembling factories where they are assembled into vehicles.
Shida iko wapi? Akisema made in Kenya hajakosea ju Kenya tunafanya CKD assembly na fabrication pia. Magari yana unganishwa in Kenya kwa mara ya kwanza, kama tu vile hua wanaunganisha huko ng'ambo. Kutengeneza engine haimanishi umetengeneza gari. Hata wewe unaweza anzisha kampuni yako ya kutengeneza magari leo na upatie BMW kazi ya kukutengenezea engine, na gari yako haitakua na jina ya BMW, anyway that's a story for another day. Kwa mfano Isuzu haiwezi andikwa assembled in Japan na ilikua assembled in Kenya au South Africa.Sasa mkenya mwenzako anasema proudly made in Kenya, ndio tunamuuliza mna assemble au manufacturing?
Huo uwezo bado sana, nyie mnachofanya ni kuchoma hayo mabati na kuyapaka rangi kitu ambacho hata watengeneza mageti wanafanya , vifaa vya umeme mna agiza nje, engine mna agiza nje.
Gari ni engine, ukianza kuniambia mnachoma body hata Tanzania kuna kampuni nyingi sana wana assemble meli na luxury boats naweza kukupa picha..
Kawaida sana mzee, siku mkitengeneza engine nitaanza kuwachukulia serious... Tchao..
Assembly plants simply bring in parts from elsewhere and the parts are joined at the plant. A Scania F360 6X2 bus assembled in Tanzania will look exactly the same as the same Scania bus assembled in Kenya and in Sweden. Coach Builders actually design their own bodies, fabricate the parts and assemble them. Each fabricator has it's own unique style of fabrication. An Isuzu bus fabricated by BANBROS will look different from the same model fabricated by masters.Most if not all car manufacturing plants are assembly plants, simply because car parts from different factories around the world are put together there. VW BMW LR Toyota all have assembly plants.
Sasa we unaona kuna haja ya kuji proud hapo, kila mmoja anaweza kufanya, halafu usilinganishe kampuni za ng'ambo na hivyo viwanda vya kuchomelea mageti na madirisha wale wanaweka pesa ndefu kwenye R&D wakimaliza wakafanikiwa wanaweka na patents, jamaa wanapiga kazi za maana, we unajua gharama ya kufanya R&D? Kwenye hizo gari zenu kuna feature gani hata moja mmegundua ya kipekee?Shida iko wapi? Akisema made in Kenya hajakosea ju Kenya tunafanya CKD assembly na fabrication pia. Magari yana unganishwa in Kenya kwa mara ya kwanza, kama tu vile hua wanaunganisha huko ng'ambo. Kutengeneza engine haimanishi umetengeneza gari. Hata wewe unaweza anzisha kampuni yako ya kutengeneza magari leo na upatie BMW kazi ya kukutengenezea engine na gari yako haitakua na jina ya BMW. Kwa mfano gari hawezi andikwa made in Japan na ilikua assembled in Kenya au South Africa.
Sisi buses zetu tunajitengenezea bodies na bado tunajifanyia assembly. Nyinyi muna import CBU. Hamna ujuizi kwa vehicle production ndio maana hamna viwanda vingi vya kuunganisha au kufabricate magari kama Kenya. A bigger percentage of our commercial vehicles are produced locally, nyinyi bado munategemea imports.Sasa we unaona kuna haja ya kuji proud hapo, kila mmoja anaweza kufanya, halafu usilinganishe kampuni za ng'ambo na hivyo viwanda vya kuchomelea mageti na madirisha wale wanaweka pesa ndefu kwenye R&D wakimaliza wakafanikiwa wanaweka na patents, jamaa wanapiga kazi za maana, we unajua gharama ya kufanya R&D? Kwenye hizo gari zenu kuna feature gani hata moja mmegundua ya kipekee?
Kila kitu ni copy and paste, kila mtu anafanya hata fundi welder...
Ndio maana nasema siku mkitengeneza engine nitaanza kuwachukulia serious... Tchao..